47pro
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 1,204
- 332
Kama ulikwepo, Leo Ijumaa, tunaweka shida chini tunatupa mikono juu, baada ya migo migo za kumalizia dissertation, basi leo nataka nitoke na mabesthe zangu, mpaka usiku mbaya, tukalewe, hii bash haitahusisha anyboy, yaani ni strictly girls, Hebu pendekeza kilevi rafiki kwa girls. Konyagi usitaje.