Leo nimeonana na The Boss……………..!

sometimes unaweza kusoma maandishi ya mtu fulani halafu ukaunganisha na maongezi ya jamaa flani ukajua ni memba wa jf kumbe sio...ishanitokea
 
Na ratiba ya kurudi hm ikibadilika tu namwambia mama kuhusu huyo Suriama wako!
Maana wewe mzee hata hueleweki!
Cantalisia ............. Pamoja na kutumia mafumbo lakini umeona...!
Nikiyasikia haya maneno kwa mama Ngina utanikoma................................LOL
 
Last edited by a moderator:
Mtambuzi atakuwa alimaanisha 'Surinami' . Hilo ni koloni la waholanzi.
Mtambuzi uishiwi ucheshi..leo tupo na chotara The Boss eeh..asante wee Gustavo🙂)
BelindaJacob ..................Suriama ni mtu aliyechanganya damu ya makabila mawili..............kama wewe hapo baba yako ni Msukuma na mama yako ni Mchaga basi tutasema wewe ni suriama wa Kisukuma na Kichaga
 
Last edited by a moderator:
kumbe ceo mwenyewe ni ke
hapo umeumia mtu wangu.

 
Damu zinachanganywaje wakati ni manii ndo zilihusika?
 
apo juu Kipipi nakutafuta, hebu niPM fasta,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…