Leo nimemvulia pendo rasmi Manka

Komaa mwanangu ila inabidi uwe real tu kwake inawezekana mimi nlizunguka mwaka mwsho nlishinda
daaah kaka kwa saiv ngoja nitulie kidogo nimeshajaribu lakini naona bado mambo hayasomeki nilijipa moyo hivyo hivyo kuwa labda atabadirika lakini mapuuza yamezidi. Inshort pale SIPENDWI
 
nimetoka kufuta namba zake na chatings sio muda now ni point of no return mkuu, nshapoteza muda sasa ngoja nikomae na mambo mengine
Hapana mkuu usikubari chombo iliwe na mwingine komaa lazima ajae mbona mapema sana wenzio walipambana mpaka tone la mwisho pia hakuna mafanikio yanayokuja kirahisi rahisi
 
Skills zako ndogo za kutongoza , ww una mwambia mwanamke unampenda lakn hauna pesa , nikutojiamn huko.
Unaweza shaanga kuna jama hapo chuon kwenu anakuja mchukua kirahis
hii nilisema tukiwa kwenye matani nayeye ananijua ni mtu wa matani sana
 
Hako ka-Manka ni kafala sana mimi hadi sahivi ninayo namba yake sahivi hakajibu sms zangu.

apple langu na chocolate kamekula sasa nasema hiviiii nitakaloga kapumbavu kabisa

sema hakajui kuvaa umedanganya
ila kako first year
 
Lete namba nikusaidie nitakuletea chumbani kabisa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…