Leo nimemvulia pendo rasmi Manka

Leo nimemvulia pendo rasmi Manka

ahahaha bado na trials kadhaaa zimebaki
Una roho ngumu kinyama,mimi huwa namtokea demu siku moja tu akizingua ndo basi tena...yaani hapo hupendwi hata akikubali siku moja usijidanganye eti unapendwa...

Unajua mdada anayekupenda hata kama atakuzungusha muda mrefu,kuna style utaona huyu ananipenda ila anakaza tu asijeonekana malaya kakubali kirahisi..ila kuna mahali unaona kabisa hakuna kitu..

Cha mwisho,
Unampotongoza mdada ji-grade kwanza kuanzia muonekano wako like ufupi,urefu,rangi n.k je,ni level ya huyo dada?inawezekana ham-match kabisa so anaona aibu atakutambulisha vipi yaani!!kuna wakati tunawapa shida sana wadada yaani unakuta jamaa mchafu ila anamtokea demu msafi,kisu cha maana..hapo lazima utakataliwa tu...binafsi sijawahi kukataliwa na mdada..offcourse sina shaka na muonekano wangu am a gentleman tall,HB na mwili wa mazoezi kwa mbali..ila natokea wadada wa level yangu hata akiwa siyo level yangu naingia kimasihara ili asijue nipo serious au natania..anaweza fikiria natania tukazoeana weee mara ghafla kashanipa tunda kimasihara pia..
 
kaka umeongea point sana hapo mwishoni, safi sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom