Leo nimemfumania mke wangu, sijui nifanyaje?

Leo nimemfumania mke wangu, sijui nifanyaje?

Duh kumbe ni mkeo samahani sana nilikuwa naongea nae leo kanigombeza sana kwanini nampigia simu usiku haaa haaa ndio ukome kuchepuka.
 
Hahaaa mbona yeye kauza mechi kibao mdada kavumilia tu

Wife hii chai umeinywa? Hivi mtu anawezaje kusikia anayosema mtu wa upande wa pili? Au aliweka loud speaker? Afu ndo ushangae sasa ya upande wa pili anasikia lakini wife akiongea hasikii wakati yuko naye mezani.

Hii chai sukari haijakolea
 
Wife hii chai umeinywa? Hivi mtu anawezaje kusikia anayosema mtu wa upande wa pili? Au aliweka loud speaker? Afu ndo ushangae sasa ya upande wa pili anasikia lakini wife akiongea hasikii wakati yuko naye mezani.

Hii chai sukari haijakolea

Hahaaaa
Hazbend siamini ninekunywa hii chai mchana wa jua kali
 
asa mawazo unapata ya nini wife kupigiwa simu tuuu??? labda jamaa bado anafukuzia na mkeo hamtaki asa unawaza nini? na ukiona ivo ujue mkeo ni mzuri kaa utulie ndani ya ndoa f.a.l.a wewe
 
Tena ukute ni wale tulioporwa urais unaweza kuumiza mtu;
.......... mbona wewe unafanya lakini?
 
Habari wana MMU mi niko sawa kiafya.

Ni mara nyingi sana mke wangu amenifuma na SMS kutoka kwa wanawake tofauti ingawaje sio wote ni michepuko yangu ila wamo wengine walikua michepuko wangu na wengine nilikua nishapiga chini ila huwa sina ka2lwaida ya kuondoa ushahidi katika simu.

Sasa leo niko na wife katika bad mara simu yake ikaita mimi sina kawaida ya kufuatilia simu yake ila ya kwangu hua anapeleleza anaona kama mimi nilipokatwa govi sijaumi hawa wanawake hawa mmmmmhhh waone tuuu basi baada ya kupokea simu yake maongezi yake na upande wa pili yalikua hivi:-
Wife: hello
Jamaa : hello mambo
Wife: poa eeeeehe unasemaje
Jamaa : heeee mbona umekua mkalii
Wife : si nilikwishakuambia usinipigie simu
Jamaaa: kwani....................... (sikuisikia vizuri sauti yake )
Wife: eheeee ndio
Jamaaa : unajua ............(wife kakata simu)

Hali hiii imeniuma sana na sikuumuuliza wife alikua akiongea na nani? Na kulikua na nini sikumuuliza maaana hata mimi sipendi aniulize sikutaka aone kama nimemfuatilia simu yake ili nami niwe huru.

Ila ukweli roho inaniuma kuona kua dume mwenzangu linatia mistari kwa wife na wivu umepanda hadi utisini ndio nami nimeona kua nami akisikia mawasiliano ama akishuku nachepuka kama anaumia na kua na mawazo kama haya duuuuu simtendei haki.

Jamaniii eeee wakubwa wenzangu nishaurini nini nitende?

ha ha ha...tatizo sana hili. nimeanza kusoma nikijua wewe mtakatifu saaaana ila kumbe na wewe unayo michepuko..basi sawa.
 
Ndio maana Uislam unasema wazinifu wa type hii wauwawe. Shen. zi. kabisa.
 
Mkuu asante kwa story ila we huna mke na hujui thamani ya mke acha unafiki.
 
Ukimwi kuja kuisha Tanzania ni ndoto i swear hadi wazinzi wote tuwazike.. Watu mmeolewa na kuoa michepuko ya nini??. Yan uchafu mtupu..watu wamekuwa hawana hata haya...siku hizi kuwa na michepuko ni trend... Nachukia haka katabia ka kipuuzi...😈

Subiri ukue, utaelewa tu faida na hasara zake.
 
sijaelewa vizuri mtu anafumaniwa kwenye simu? nadhani ni faragha na viashiria vya kuvunja amri!
 
Back
Top Bottom