Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,937
- 168,758
Mwizi kaibiwa *****, unalia lia nini sasa wakati nawe ni kitombi
Si shangai takwimu kuonesha ukimwi upo kwa kiwango kingi kwa wanandoa..
Yan disgusting kuna mdada amekufa kama 2weeks ago na Ukimwi ameacha katoto kachanga kabisa na mwingine kama wa miaka 3 hivi na mumewe ndio alioleta huo ugonjwa.. Familia ya mwanamke imemuambia akachukue michepuko yake ije ilee watoto wake..
Rudi kwa Mungu na mtubie wewe na wife wakoKakukomesha nataman angesema nipo na huyu kibamia akiiondoka ntakucheki wng
Kakukomesha nataman angesema nipo na huyu kibamia akiiondoka ntakucheki wng
Sasa walia nini?!
Kugongewa inauma
Hahaaa mbona yeye kauza mechi kibao mdada kavumilia tu