Leo nimemfumania mke wangu, sijui nifanyaje?

Leo nimemfumania mke wangu, sijui nifanyaje?

Simu tu unaweweseka hivi ungekuta kakunjwa......?
 
Hapo alimjibu hivyo ila alivyokaa peke yake alimpigia tena kumwambia pale nilikuwa na husband ndo maana nikawa nakujibu dry. Ndo hivyo mkuu kaza moyo mlee watoto sasa we unazani utafanyaje?
 
Back
Top Bottom