Leo nimekutana na wazo la ajabu sikuamini

jnuswe

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
1,270
549
Huyo mtu ni mwana CCM kabisa na mzee wa siku nyingi tukiwa kwenye gari kuelekea kazini, nikawa nimenunua gazeti yeye akaniuliza kuna habari gani mpya , ni kamwambia habari ya mlipuko wa Arusha na matokeo ya udiwani Chaguzi ndogo ,

Jibu lake lilikuwa hivi: Mimi nilifikiri kuna kitu cha maana, akaendelea kusema hivi CCM inatupeleka kubaya taifa linahangamia sasa, hicho chama sikipendi sasa kimeanza kuniudhi

Mimi nikashangaa kuona mzee ambaye namfahamu ki kada marufu wa chama hicho anatamuka maneno hayo ni kavutiwa zaidi ni kamuuliza swali jingine tena, Swali lilikuwa hivi : Mzee kwa nini ukipendi wakati wewe unajulikana ni mwanachama na umewahi kuwa kiongozi katika chama hicho ?

Jibu: Ngoja nikuambie kijana huu mchezo unaofanywa na ccm sio mzuri kabisa unaharibu sifa ya chama chetu na suala lingine ni kwamba, mimi nipo hapa dar es salaam unaposikia ccm wamevamia watu na kuwapiga kwenye chaguzi , huwezi jua pengine huyo aliyepigwa na kujeruhiwa akawa ndugu yangu, kwa sababu sio lazima mimi nikiwa mwana ccm na ndugu zangu wote wawe ccm, huo mchezo wanaofanya ni mbya, wameacha kushughulikia mambo ya msingi yanayokipasua chama wanashughulika na vitu vya kipuuzi tu, kwa mfano pale tanga kuna mpasuko mkubwa sana wachama

Sikuendelea kumuuliza tena suali, lakini nikatafakari sana kuwa kumbe sio kila mwanaCCM ana akili mbovu wapo watu huko wenye mtazamo mzuri na mapenzi mazuri na taifa hili

Nawasilisha
 
CCM ya Wassira, Nape na Mwigilu wakiongozwa na Kinana.... Tangu jana nimeanza kumkumbuka mzee Yusufu Makamba.
 
Duuu!! Umenikumbusha kitu hapa,maana kuna siku afisa wa jeshi(jwtz) alishawahi tamka maneno mazito sikutegemea,haya ndio yalikua maneno yake"hii nchi haiwezi endelea mpaka watu wapigane ili hakili ikae sawa na watawala wajue kwamba watu wamechoka,bila hivi hawa watu wataendelea kunyonya watu',veey sad statement,lakini ukitafakari sana hii kauli,it is very absolutely the truth!
ccm must change its move!!
 
Hiyo habari ni kama ya kutunga vile lakini ulichoandika kinaleta sense mkuu

Namuogopa Mungu , sijatunga haya ndo niliyokutana nayo leo, na huyo mtu kila tukikutana naye mara nyingi huwa anaiponda sana ccm kwa mambo fulani ambayo haridhishwi nayo , nimekuwa muoga kuongea naye nikajua ananitega asikie kwangu naiongeleaje ccm lakini leo kaongea kwa hisia kweli na ndo nikagundua kuwa huyu Bwana amekomboka fikra zake
 
Kwa uhuni huu wa jangili kinana na maelekezo ya savimbi mgulu na mzee wa gombe watu wengi wamevua gamba bado kubatizwa tuu...
 
UWE CCM, DCM au NCCR kama Mungu akikujalia ka UTU kama Chemba ya Aladali huwezi shabikia USHETANI unaokatisha maisha ya watu kama Kuku!
 
Duuu!! Umenikumbusha kitu hapa,maana kuna siku afisa wa jeshi(jwtz) alishawahi tamka maneno mazito sikutegemea,haya ndio yalikua maneno yake"hii nchi haiwezi endelea mpaka watu wapigane ili hakili ikae sawa na watawala wajue kwamba watu wamechoka,bila hivi hawa watu wataendelea kunyonya watu',veey sad statement,lakini ukitafakari sana hii kauli,it is very absolutely the truth!
ccm must change its move!!

Dah! Na mimi umenikumbusha mkuu. Mara kwa mara huwa nawapa mapolisi au wanajeshi lifti na kwa kweli unachokisema ni kweli kabisa maana hayo ndo wanayosema na kuwa na wao wamechoka ila basi tu...! Juzi juzi hapa trafiki alinambia haya mambo ya utesaji/mauaji yanafanywa na wakubwa na wao wanajua na kuna mambo wanashirikishwa wafanye wa na wakikataa wanafukuzwa kazi sasa wale polisi waliofukuzwa kazi few days ago kisa walikamata bidhaa ambazo hazikulipiwa ushuru za rais mstaafu (hawakumtaja jina) wa Zenji wamesema sasa basi wanaanika kila kitu na kuwa jamaa ni kinara wa kukwepa kulipa kodi... Na akaniambia asilimia kubwa ya malori ni ya vigogo na watoto wao na wakiyakamata inapigwa simu wayaachie na lugha chafu juu na mengine mengi ila ni kwamba watu wamechoka! Nchi yetu inahitaji maombi sana maana hao viongozi ni kama hawajui kuwa kuna Mungu!
 
Huyo mtu ni mwana CCM kabisa na mzee wa siku nyingi tukiwa kwenye gari kuelekea kazini, nikawa nimenunua gazeti yeye akaniuliza kuna habari gani mpya , ni kamwambia habari ya mlipuko wa Arusha na matokeo ya udiwani Chaguzi ndogo ,

Jibu lake lilikuwa hivi: Mimi nilifikiri kuna kitu cha maana, akaendelea kusema hivi CCM inatupeleka kubaya taifa linahangamia sasa, hicho chama sikipendi sasa kimeanza kuniudhi

Mimi nikashangaa kuona mzee ambaye namfahamu ki kada marufu wa chama hicho anatamuka maneno hayo ni kavutiwa zaidi ni kamuuliza swali jingine tena, Swali lilikuwa hivi : Mzee kwa nini ukipendi wakati wewe unajulikana ni mwanachama na umewahi kuwa kiongozi katika chama hicho ?

Jibu: Ngoja nikuambie kijana huu mchezo unaofanywa na ccm sio mzuri kabisa unaharibu sifa ya chama chetu na suala lingine ni kwamba, mimi nipo hapa dar es salaam unaposikia ccm wamevamia watu na kuwapiga kwenye chaguzi , huwezi jua pengine huyo aliyepigwa na kujeruhiwa akawa ndugu yangu, kwa sababu sio lazima mimi nikiwa mwana ccm na ndugu zangu wote wawe ccm, huo mchezo wanaofanya ni mbya, wameacha kushughulikia mambo ya msingi yanayokipasua chama wanashughulika na vitu vya kipuuzi tu, kwa mfano pale tanga kuna mpasuko mkubwa sana wachama

Sikuendelea kumuuliza tena suali, lakini nikatafakari sana kuwa kumbe sio kila mwanaCCM ana akili mbovu wapo watu huko wenye mtazamo mzuri na mapenzi mazuri na taifa hili

Nawasilisha

Hakili ndogo inapojitutumua huonekana ndogo zaidi. Hivi uongo unafaida gani. Utakutesa milele, labda uwe umekufa spiritually. Kama una hoja uwe jasiri kuijenga na kuitetea. Usitunge story kuhalalisha hoja yako.
 
Ukirusha jiwe gizani, kisha ukasikia Chwiiiiiii...! Jua jiwe limempata mtu. Upo hapo?.
 
Hakili ndogo inapojitutumua huonekana ndogo zaidi. Hivi uongo unafaida gani. Utakutesa milele, labda uwe umekufa spiritually. Kama una hoja uwe jasiri kuijenga na kuitetea. Usitunge story kuhalalisha hoja yako.
jinsi ulivyokuja resi nikajua unaandika comment ya maana kumbe ulikuwa unajikojolea!?
 
Kwa kweli tukio lililotokea arusha halipendezi kabisa na hakuna mtanzania yeyote mpenda maendeleo na mabadiliko anayeweza kukubalina na mauaji hayo yaliyofanyika huko arusha.

Hicho kitendo kinaonyesha jinsi gani watu wanavyonyimwa uhuru wao wa kukusanyika na kusikiliza mambo mema na mazuri kutoka kwa viongozi wao.

Hicho kitendo kina lengo la kudidimiza democrasia nchini na kujenga hofu na woga kwa wananchi ili washindwe kuwa wanahudhuria mikutono ya CHADEMA.

Najua yatasemwa mengi lakini kwa watu tunaofikiria sana, tunaona kabisa hapa kuna woga wa kisiasa uliosababisha kutekeleza kwa hilo tukio, namaaanisha kuna uwezekano mkubwa CCM wamepanga hii kitu
 
Tutake tusitake sasa hivi CCM inaongizwa Na genge ambalo halina nia nzuri Na taifa hili!

Wamefisadi nchi wameifilisi Na sasa hivi wanataka kuangamiza taifa

Wana CCM amkeni Kama huyu mzee
 
Hakili ndogo inapojitutumua huonekana ndogo zaidi. Hivi uongo unafaida gani. Utakutesa milele, labda uwe umekufa spiritually. Kama una hoja uwe jasiri kuijenga na kuitetea. Usitunge story kuhalalisha hoja yako.

Inamaana uamini kilichoandikwa , pole kama uamini, mimi nimeelezea kile kilichotokea leo tar. 17 June 2013, uamini unaacha , leo hayo ndo yaliyotokea, kwa mimi nimejifunza kitu na wewe sitaki ufuatilie ujue usijue kitu mimi hainihusu, ila huo ndo ukweli huko ccm muko watu makundi 2, mashabiki wasiweza kutafakari na wale wanaotafakari na kupambanua jema na baya

Na msipojirekebisha mtajua mna watu wengi kumbe wagi wamewakimbia, mpo nao kimwili lakini moyoni hwawataki
 
Hakili ndogo inapojitutumua huonekana ndogo zaidi. Hivi uongo unafaida gani. Utakutesa milele, labda uwe umekufa spiritually. Kama una hoja uwe jasiri kuijenga na kuitetea. Usitunge story kuhalalisha hoja yako.

Na hao wachangiaji wanayosema ambayo yanamaudhui sawa na mada kuu ni uongo? Hata kama amejitungia ila huo utabaki kuwa ukweli wa mambo yalivyo juu ya watumishi wa serikali mitaani. WAMEICHOKA CCM!!
 
Back
Top Bottom