manning
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 5,093
- 11,948
hakili ndogo inapojitutumua huonekana ndogo zaidi. Hivi uongo unafaida gani. Utakutesa milele, labda uwe umekufa spiritually. Kama una hoja uwe jasiri kuijenga na kuitetea. Usitunge story kuhalalisha hoja yako.
kama unajua hivyo mapovu ya nini mkuu, we zingatia unayojua kwani katiba imetoa uhuru wa kutoa maoni, kwanini utoe mapovu na kuumiza roho yako kwa mawazo sahihi kwake mwenzio?!!