Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 13,177
- 27,236
😳Bas bora niendelee kufundisha aiseeJe una ass sugu?maana pipi zitatokea mitaa hio.Lkn Kuna mazoezi ya namna ya kuiokomaza mkuu, wafanya hizo shughuli wanajua siri Yao ya urembo.
Kamchoma jamaa . Afu Nina deni na wewe mkuu nimerud wiki hii ngoja nije dmNgoja nikae kimya tu.
Ualimu umechoka?🤣🤣🤣🤣Nikanyonyeshe Tena,mi nataka Kaz mkuu
Watumishi tunasema ridhika na kipato Chako halali mpendwa 😄😳Bas bora niendelee kufundisha aisee
🤣🤣Hakika ngoja nikitulize🙌Watumishi tunasema ridhika na kipato Chako halali mpendwa 😄
Kitambo sana,ila Kwa nanna hii acha nikomae tuUalimu umechoka?
Mnadhani haya mambo ni rahisi kiasi hicho?Mwananyamala (bongo muvi)
Alikuwa kondakta namilikia gari nne(prado, BMW, Raum nyekundu)
Ulifika kwa dada mwenye kibanda
Wamempata huyo “begi”. Wahusika wanasema ahsante kwa ushirikiano
Kama vipi niunganishe naye, hiyo kazi naitafuta sana.Kwanza kabisa, kabla ya kuelezea hiki kisa cha huyu rafiki yangu, niseme kitu kuhusu eneo la Kknondoni.
Kwa muda mfupi niliokaa kinondoni eneo la mwananyamala A (mtaa jina maarufu Bongo Muvi) nimekuja kugundua maisha ya kinondoni Ni tofauti kabisa na eneo lolote jijini Dar es salaam.Kinondoni unaweza kukuta 'mwana' anaishi km star (Bata, totoz na magari) lakini hujui anapiga mishe gani. Sasa ole wako umfuatishe kula bata wakati kipato chako Ni cha imani upendo na miujiza, utafulia na mwishowe utarudi zako Mbagala kwenye maisha ya 'Asante buku' huku ukiwaacha watoto wa Kino wakiendelea kuponda raha kama wameambiwa kesho hufiki Mungu anakuita!
Nirudi kwenye mada.
Wakati nipo zangu kinondoni mwaka juzi 2020, mtaa nilihamia Kuna jamaa nimemzidi Kama miaka miwili,alikuwa anapenda kuniita bro, jamaa alikuwa ananikubali sn kwa sababu nilikuwa napenda kumuungia pesa ya kubeti. Kabla ya kubeti huyu bwana alikuwa anafanya kazi ya ukondakta wa daladala, baadae akaacha akawa tu mtaani 'anaungaunga'
Siku moja nilimuuliza kwa nn umeacha kazi ya ukondakta akaniambia bosi wake mwarabu anazingua,gari anataka tuamshe Mara mbili kwa wiki alafu kosa dogo tu anatukata hela mimi na na dereva. Kwa kuwa ana uhakika wa kula na kulala kwao akaamua kuacha kazi akawa mtu wa kuunga unga tu mtaani na kubeti ndiyo ilikuwa kazi yake kuu. Jamaa alikuwa anashinda kwenye kibanda cha kubeti muda wote.
Baada ya muda mfupi nilihama mwananyamala nikahamia sehemu nyingine kwa sababu niliona kupo kushoto Sana na ninakotafuta mkate.
Leo nilienda Mwananyamala, nikaamua nipitie pale mtaani kuwapa hi masela na ndugu wa pale. Nilipofika mtaani nikaenda dukani kwa sister mmoja ambae enzi hizo nilikuwa napata huduma zangu na samtaimz kupiga stori.
Wakati niko pale punde ikapita Raum nyekundu huku ikipiga mziki mnene ndani. Jamaa akashusha kioo kisha akamsalimia dada wa dukani kwa uchangamfu mkubwa. Mimi nilikuwa bize na simu muda huo wanasalimiana, Mara nikasikia "oya Satoh Hirosh niaje mzee?" Nikastuka na kuinua kichwa juu, kucheki ni mwanangu wa kubeti!
Jamaa amebadilika, anang'aa. Haonekani kuwa na maisha ya kuunga unga kama zamani. Tukasalimiana kwa uchangamfu sn na kukumbushana stori za zamani Kisha akaniachia namba zake na kusepa zake.
Kilichonifanya niandike uzi siyo ishu yake ya utajiri wa ghafla na hela chafu aliyonayo ndani ya hii miaka miwili. Hapana siyo hivyo kabisa!!
Alipoondoka Yule sister ndiyo akaniambia ukweli halisi kwa nini jamaa ana hela. Kwanza akaniambia "bro Hilo gari ulilomwona nalo ndiyo gari la bei rahisi kuliko yote anayomiliki. Rafiki yako anamiliki si chini ya gari nne. Ana Prado, Benz ,BMW na hiyo Raum uliyomwona nayo. Miezi kadhaa iliyopita amemaliza kujenga nyumba somewhere Kali na ya kisasa wanakaa ndugu zake yeye anakaa mjini huku, huko alikojenga nyumba amejenga na fremu kadhaa za biashara. Anasomesha ndugu zake kadhaa pia kutoka huko kwao kijijini.
Wakati sister ananisimulia hayo yote nikabaki nimeduwaa tu huku nimetumbua macho nikisubiri amalize kuongea nimtwange swali lililogonga kichwani mwangu. Kabla sijamuuliza hilo swali sister akanisogelea karibu zaidi ile Kama anataka kuongea nisikie peke yangu, mtu mwingine yeyote asijue ameongea nini hata Kama yupo karibu. Akasema hayo maendeleo yote niliyokusimulia ameyapata, inasemekana 'RAFIKI YAKO NI BEGI".
Lugha aliyotumia ya 'rafiki yako ni begi' sikumwelewa kwa kweli, nikamuuliza unamaanisha Nini. Akasema Sasa hapo nini hujaelewa? Nimemaanisha mwanao anabebeshwa ngada(madawa). Hapo unapoona anaenda nchi tofauti tofauti kufata mzigo na anaaminiwa na madoni Sasa hivi. Sister akanifungukia mambo mengi sana huku akiongea kwa kusikitika pia maana kazi aliyoichagua rafiki ni ya hatari sana.
Jamaa ameniahidi kunicheki baadae. Kama ni kweli anafanya hizo biashara sitakuwa na Cha kumshauri Wala kumtisha dhidi ya system endapo ikimstukia itakula kwake. Ni maisha yake aliyoyachagua. Ila njia aliyoichagua ni ngumu sana na inahitaji ujasiri wa hali ya juu sana kuchukua maamuzi aliyoyachukua yeye miaka miwili iliyopita.
Ila Jamaa yangu amefanikiwa kuitibu njaa!
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Huu msosi wa sa8 ni mchana au usiku 😄KWA KUWA HAJAUZA MAKALIO MBONA SAFI TU MAISHA YRNYEWE YAKO WAPI HAYA MZEE HATA MM NINGEUZA NGADA TU MZEE MLO KUTWA MARA MOJA SAA 8 MPKA KESHO SAA 8 KAKA KWANN NISIPIGE MISHE NYEUSI TU
Naongezea Mwanzo alikua kondakta boss mwarabu tushafungua codes 😁😁😁Mwananyamala (bongo muvi)
Alikuwa kondakta namilikia gari nne(prado, BMW, Raum nyekundu)
Ulifika kwa dada mwenye kibanda
Wamempata huyo “begi”. Wahusika wanasema ahsante kwa ushirikiano
kama jamaa yupo humu Jf dogo atafute pa kwenda kabisa maana kafungua codes zote 😩😩😩Kwahiyo umeamua kumchoma kijana mwenzio🤔
Tuliza kitumbua mwana🤣🤣Hakika ngoja nikitulize🙌
🤣🤣🤣Kwa kweli....Tuliza kitumbua mwana
🤣Kumbe Tena🤦Eee ukikituliza ipo siku tukipitia huko tunang'ata na chai juu🤣🤣
Haiwezi kuwa simple kiasi hiki.Mwananyamala (bongo muvi)
Alikuwa kondakta namilikia gari nne(prado, BMW, Raum nyekundu)
Ulifika kwa dada mwenye kibanda
Wamempata huyo “begi”. Wahusika wanasema ahsante kwa ushirikiano