Leo nimekutana na m-Niger. Napongeza na naunga mkono mapinduzi yalifanywa na Jeshi.

Hamna bana jamaa yuko deep sana halafu ni msomi na umri umeenda nadhani early 50s yuko ulaya toka 1994 anaondoka na kurudi.

Europe is turning right. Mahafidhina yanachukua mamlaka na hayatupendi.

Mfano Sweden ilikuwa very welcoming l. Sasa hivi its turning right. Denmark kama kawaii toka zamani wanabana.
Tatizo la mwafrika ni akili, leo hii am amfukuza Mfaransa utaskia kamkaribisha Mrusi, kumbe wote ndio walewale tu. Binafsi simwamini mtu mweupe wa aina yoyote ile kwenye biashara na mtu mweusi.
Kwa jinsi tulivuo inabidi kuanza kwa kushikwa mkono na kupigwa tafu. Kumbuka hawa weupe toka karne kadhaa walikuwa na wameendelea
 
Ushikwe mkono na nani? Mrusi? Urusi haikutawala Africa siyo sababu inatupenda, ni kwamba haikuwa na uwezo, ilizidiwa kete tu na west ila inachokifanya sasa kwa Africa ni ukoloni tupu, sema ndio hivyo mwafrika akili hana anadhani Urusi anatupenda.
 

Sio magharibi tu, unajua wanyama wanaowindwa kwenye vitalu vya mbuga zenu mnapata nini? Unafahamu sababu hata ya magu kusema bucha za nyama pori walau wananchi wawe wanauziwa mara moja kwa wiki ilitokana na manyati, swala, kwenda kuliwa mbali wakati wenye nchi hawajawahi hata kuonja nyamapori, unajua kwenye gesi ya mtwara unapata nini? Unajua ngorongoro na loliondo kwa nini wenyeji hufukuzwa unadhani ni kukuza utalii? Same like hiyo bandari yako unadhani tutanufaika kama inavohubiriwa? Unajua pesa nchi inayopata kwenye migodi ya dhahabu ambayo tunaachiwa mashimo? Hali ya dunia ya mabepari haijawahi kua na huruma na mtu mweusi haitokuja itokee bepari alikuachia uhuru wa bendera lakini sio uhuru wa kiuchumi,
 
Makaron ni bladifaken,shubamit,kitenes hovyo kabisaaaaaaa
 
Afrika yangu ,Nani ameiroga sijui.
 
Tz kama Niger tuna yetu, wao wamechukua hatua vipi sisi?
 
Ukisha kutana naye mara ya pili, mtafute Zito Kabwe mwambie hali halisi ya watu wa Niger na nini wanataka. Sio mtu wa Gwanumpu au Kazulamimba anapiga miayo Eti analaani mapinduzi.
 
Mkuu Bongo ni akili na uvivu tu ndo tatizo letu kubwa. Hiyo Nigeria yenyewe maisha ni magumu mnoo, ndio maana wakija hata hapa huwa hawarudi tena kwao. Na hata wakifanya utapeli huwa wanahamia sehemu ingine na siyo kurudi kwao.
Kuna kitu umechanganya kati ya Niger na Nigeria. Ni chi mbili tofauti mkuu.
 
Kuna kitu umechanganya kati ya Niger na Nigeria. Ni chi mbili tofauti mkuu.
Sijachanganya Mkuu, naelewa vizuri sana. Maana kuna wabongo huwa wanadhani hata Nigeria mambo mazuri, kumbe maisha yako ni mtiti kwelikweli
 
Hao benin ndio best sellout namba moja africa

Imagine hadi cement wanaagiza china ilhali jirani yao nigeria dangote anazalisha cement ya kutosha.
 
Ushikwe mkono na nani? Mrusi? Urusi haikutawala Africa siyo sababu inatupenda, ni kwamba haikuwa na uwezo, ilizidiwa kete tu na west ila inachokifanya sasa kwa Africa ni ukoloni tupu, sema ndio hivyo mwafrika akili hana anadhani Urusi anatupenda.
Hapa kinachotafutwa ni fairness ya kufanya biashara na sio kupendwa hta mwarabu akiwa fair twende nae.
 
Russia katawala wapi mpk muamini wao ni wema ? Je ya Ukraine , Georgia , Moldova na Beralus hamuyaon ? Kwamba urusi ina wapenda sana nyiny kuliko ndugu zao hao ambao imewaua na inaendelea wauawa , AMKENI MAENDELEO HULETEW NA JIRAN
 
Tatizo la mwafrika ni akili, leo hii anamfukuza Mfaransa utaskia kamkaribisha Mrusi, kumbe wote ndio walewale tu. Binafsi simwamini mtu mweupe wa aina yoyote ile kwenye biashara na mtu mweusi.
Sisi kichwani ni bogus baada ya miaka 30 wajukuu zetu watakuwa wanamsifia mfaransa na kumrudisha baada ya urusi kuwa mstari wa mbele kwenye maamuzi ya hizo nchi km afanyavyo huko Beralus
 
Km kila kitengo watu wanaweka ela mfukoni basi hata mshikwe makalio hamuend popote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…