Kubwa la Maadui
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 7,972
- 15,767
MamayoIzo nywele kichwani umerithi kwa baba ako mzazi?
MamayoIzo nywele kichwani umerithi kwa baba ako mzazi?
Naujua ukuu wa MUNGUUnamjua shetani
Sijui mkuuDaa mkuu pole ila najiuliza huyo bwabwa kwanini akutafute wewe?
Mkuu, tafuta sehemi nyingine ya kutulia.Nikiwa nimekaa zangu sehemu nimetulia, Sina hili wala lile mara simu inaita kucheki namba ni ngeni,
Ikabidi nisogee pembeni ambapo hakuna kelele ili niweze tuweze kuelewana vizuri,
Sawa mkuuMkuu, tafuta sehemi nyingine ya kutulia.
AjichangnyeUngeenda kula mtura huo, tena ukute umesafishwa vizurii, na umeandaliwa kwa ustadi ni zaidi ya nyama yoyote ile.
pole mkuu., achana naeSijui mkuu
Amini nakwambia sijawahikuwa na mazoea naye hata kidogoKama uluvyoandika hapa ndivyo ulivyomjibu kwel
Ni dhahiri kuwa wewe na yy mnajuana kwa viremba
We Kaliwe tuNikiwa nimekaa zangu sehemu nimetulia, Sina hili wala lile mara simu inaita kucheki namba ni ngeni,
Ikabidi nisogee pembeni ambapo hakuna kelele ili niweze tuweze kuelewana vizuri,
Baada ya utambulisho nikagundua ni jamaa mmoja ambaye namfahamu tunaishi nae mtaa mmoja japo sijawahi kuwa na mazoea nae hata kidogo.
In short jamaa ni papai au kwa lugha nyingine tuseme ni Bwabwa, Siyo lazima uwe na D 2 ili uweze kunielewa,
Jamaa anachohitaji kwangu eti anitoe out ili tuweze kuongea vizuri, eti ametokea kunielewa, kwa upole nikamwambia sifagilii hayo mambo ya kula kisamvu cha kopo, yani hayo siyo mambo yangu.
Baada ya kuona jamaa hanielewi ikabidi nimchenjie mbaya kabisa nikamwambia nani kakupa no yangu anasema siyo muhimu mimi kujua, so nimemkaripia sana, naamini hatarudia tena kunisumbua.
Au nimezingua wananzengo?