Leo nimekula nyoka, mtamu!

DSCF7841-FILEminimizer.jpg
huyu sio nyoka, ni joka la kibisa kwaajili ya mazingahombwe kwenye mikutano ya chama cha kijani.
 
Leo nimetembelea Vetrix kwa bwana mmoja mfuga nyoka, jamaa ana varieties of snakes na wapo wa utalii na waliokomaa huwavuna kwa ajili ya chakula, dawa na uuzaji wa sumu. Basi tuliingia mgahawa wake baada ya utalii, tukaelekea banda la kuchagua kitoweo na tulimchagua laddar snake.

Aisee walikaangwa, na tukaletewa. Walipowekwa kwa sahani huwezi amini kama ni nyoka. Ni watamu kama samaki aina ya kibua na so nutritious. Ni mara ya kwanza kula nyoka, but real watamu.

Ushauri: Watanzania badala ya kuwaua nyoka ni vizuri tuwafuge kwa ajili ya kitoweo.
d631a0eff8f3911ef00bd4776f49e351.jpg
ec6ded64e9874c89de35c76fcd70e4cf.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
Unakula nyara za serikali!
 
Ningekuamini kama ungeweka picha "HUSIKA"..lakn hapo naona ni blah blah tu

Ugiligili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom