Leo nimekubali kweli maishani hatulingani

Hii gari inasemekana ni ya Masoud Kipanya.

Hongera yake.

Na sisi tupambane na hali zetu [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mwanamke sio mtu wa kujifananisha nae kabisa boss
 
Huyu kweli hakuja mjini kushangaa maghorofa kama wakina sie
 
halafu unakuta kuna mtu haoni hata aibu gari kama hiyo imepark sehemu naye anaenda kuegesha pembeni ki gari chake PASSO. watu wameumbwa bila mishipa ya aibu kabisa.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Hakika kila jambo linahitaji Kuwa na maono na mikakati ila yote katika yote vyote ni vyombo vya usafiri
 
Hao muda mwingine wanalala mguu juu usiku mzima, tena muda mwingine na vichwa tofauti tofauti. Usipime
 
Kaaah. Pambana na hali yako. Siku zote binadamu huwa tunaridhika kabala hatujaona cha juu yetu. Ukishakiona ndio unajua kua hali yako bado iko chiniii
 
Ukimuiga tembo kunya..utapasuka sehemu yako ya kutolea haja kubwa...
Kila la kheri ktk safari yako ya kutafuta hammer nawewe.....
 
Hilo chimbo nimeshalijua kumbe ndio wewe

Nyagei
 
Kama hiyo rav 4 umeendesha bas mwambie huyo huyo ndg ako anunue mnyama uuendeshe pia
 
GARI NI YAKE AU YA NDUGU YAKE? JE UNAYAJUA MASAHBU ANAYOYAPATA MMILIKI WA HYO GARI

LAKN PIA MALI HUTAFUTWA, WEKA BIDII
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…