Leo nimegoma kumpisha kwenye siti binti mjamzito

Bro hem taratibu tafadhali. Go and preach for the world not this man right here.
dah, how old are you? that is childish mentality, primitive model of thinking, ,tena hata aibu hakuna, sikumupisha,! what if, huyo binti alibakwa ndio akapata hiyo mimba! tenda wema nenda zako , unaangalia et mbona wanawake hawakumupisha, umejifikiria walikuwa na shida gani? Mungu Atusaidie!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vitu vinavyobishaniwaga Dar huwa vya kijingakijinga sana, mara ooh! et demu alinikataa kisa sikumpa sh 300 ya nauli alipokuja geto, mara ooh! kaninyima maji ya 500.
 
Fortunately, i've been pregnant before so i know EXACTLY what it feels like so huwa nampisha mjamzito akae kwa roho safi kabisa. Mimi sikuwa na tumbo kubwa so sikuwahi kupata hiyo favour so najua pia ugumu wa kusimama na huo mzigo. Kumbuka ile sio rambo kwamba utalituwa chini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
To be Honest hii tabia huwa siipend sana, Utakuta mdada mjamzito au ana mtoto wadada wenzie walio karbu wanamuangalia tu wakisubr mwanaume atoke seat ya nyuma huko ampishe.....
 
mm ni mwanamke lkn simpishi mjamzito wala mwenye mtoto, sana sana mwenye mtoto ntamsaidia kumbeba mwanae na akilia nampa mtoto wake. maana wengi wanafanya makusudi gari imejaa anapanda hivyo hivyo akitegemea atapishwa. HAPISHWI MTU HAPA
 
Duuh jamaa wewe kauzu sana ...haujafanya ubinaadamu ...Unapotaka kutoa msaada katika maisha yako Usitazame kuwa mbona Fulani na Fulani hawatoi ..... Yakupasa utambue kwamba binaadamu tunatofautiana Nafsi zetu na utashi wa kufikiri pia....so kama wewe unajiona kuwa una akili basi jitahidi kuepuka kufuata matendo ya wasio na akili ...

BTW -- Wanawake baadhi yenu mnaroho mbaya sana " Jaribuni kujikagua upya aise hali mliyokuwa Nayo sasa hivi dhidi ya roho zenu mbaya inatisha
Najua ulikuwa unawalenga wanawake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
W
dah, how old are you? that is childish mentality, primitive model of thinking, ,tena hata aibu hakuna, sikumupisha,! what if, huyo binti alibakwa ndio akapata hiyo mimba! tenda wema nenda zako , unaangalia et mbona wanawake hawakumupisha, umejifikiria walikuwa na shida gani? Mungu Atusaidie!
wakati anapanda gari hakuona kama limejaa, hawa watu wanamakusudi sana. mm kipindi mjamzito nilikuwa nageuza na gari, au napanda magari ya buku 2. sikutaka kumkera mtu kama ambavyo sipendi kero.
 
Ila jamani kama mtu anajijua mjamzito halafu daladala imejaa anapanda ili iweje, avute subira apate daladala yenye aiti maana ukitegemea huruma eti mtu akupishe wakati kila mt5u kachoka kachoka na mihangaiko yakd na analipa nauli



Sent using Jamii Forums mobile app
Labda anawahi kujifungua.Ila kwenye dalaldala wanawake na wasichana huwa hawawapishi viti wanawake wenzao hata awe mja nzito tumbo kubwa au ana mtoto mchanga hawapishi.Siku Moja basi la kutoka mbagala kwenda kariakoo mwanaume mmoja naona kama alitoka mikoani alimpisha kiti mja mzito baada ya kuona wanawake kwenye basi hawampishi.Akasimama mwanaume yule ameshika Bomba la Basi akiwa amebanwa hatari kwa mlundikano wa abiria kwa hasira akauliza nyie wanawake humu mbona mumegoma kumpisha mwanamke mwenzenu mja mzito roho mbaya nyie.Mwanamke mmoja akajibu kwa sauti kubwa nyie wanaume mnaotia mimba wanawake ndio mpishe mimba zenu zikae kwenye viti.Basi Zima wakaangua kicheko.Mzee wa watu akabaki kushangaa hii mibwege kwenye basi inachekelea nini Sasa.
 
Labda anawahi kujifungua.Ila kwenye dalaldala wanawake na wasichana huwa hawawapishi viti wanawake wenzao hata awe mja nzito tumbo kubwa au ana mtoto mchanga hawapishi.Siku Moja basi la kutoka mbagala kwenda kariakoo mwanaume mmoja naona kama alitoka mikoani alimpisha kiti mja mzito baada ya kuona wanawake kwenye basi hawampishi.Akasimama mwanaume yule ameshika Bomba la Basi akiwa amebanwa hatari kwa mlundikano wa abiria kwa hasira akauliza nyie wanawake humu mbona mumegoma kumpisha mwanamke mwenzenu mja mzito roho mbaya nyie.Mwanamke mmoja akajibu kwa sauti kubwa nyie wanaume mnaotia mimba wanawake ndio mpishe mimba zenu zikae kwenye viti.Basi Zima wakaangua kicheko.Mzee wa watu akabaki kushangaa hii mibwege kwenye basi inachekekea nini Sasa.
Hahahahahahahaha...!!! Kweli huyo mwanamke wa Mbagala.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dah, how old are you? that is childish mentality, primitive model of thinking, ,tena hata aibu hakuna, sikumupisha,! what if, huyo binti alibakwa ndio akapata hiyo mimba! tenda wema nenda zako , unaangalia et mbona wanawake hawakumupisha, umejifikiria walikuwa na shida gani? Mungu Atusaidie!
Mkuu hivi vitoto vya kike havina adabu na vina roho mbaya sana!! Mimi tangu lile tukio la yule bi mkubwa mbovu wa miguu kusimama kutoka Chanika mpaka Gerezani, vibinti vinamuangalia tu, sina hamu navyo!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi hata watu wazima sipishagi. Unakuta mtu uko kwao kina roho mbaya kama ya mhutu, wengine vichawi, wengine ulevi tu ndyo umemzeesha alafu nikupishe. No, jila mtu analipa nauli yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom