Leo nimegoma kumpisha kwenye siti binti mjamzito

Huyo dada hajakosea kukuomba umpishe , imeandikwa “ombeni mtapewa, tafuteni mtaona na bisheni mtafunguliwa”
Huwezi jua pengine alikuwa anajisikia vibaya!
Je angesikia kizunguzungu na kudondoka ungejisikiaje?
Halafu mnasema kwanini hakuwahi ili apate siti inategemea jamani, wakati mwingine siyo rahisi kutegemeana pengine ni mida ambayo watu ni wengi vituoni!
Tupendane!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila jamani kama mtu anajijua mjamzito halafu daladala imejaa anapanda ili iweje, avute subira apate daladala yenye aiti maana ukitegemea huruma eti mtu akupishe wakati kila mt5u kachoka kachoka na mihangaiko yakd na analipa nauli



Sent using Jamii Forums mobile app
Unaishi wapi mkuu?
Kuna wakati huwa hakuna daladala inapita na siti wazi yani pale inasimama tu hata wanaoshuka hajatoka mlangoni tayari siti zishajaa, huwezi kusuburi pa hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii je ni sahihi?????
FB_IMG_15500031928191137.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila jamani kama mtu anajijua mjamzito halafu daladala imejaa anapanda ili iweje, avute subira apate daladala yenye aiti maana ukitegemea huruma eti mtu akupishe wakati kila mt5u kachoka kachoka na mihangaiko yakd na analipa nauli



Sent using Jamii Forums mobile app

Si ndo apoh sasa yani iko kitabia kipo sana yan mtu unakuta anamtoto mdogo amembeba apo apo linakuja daladal limejaa na yeye anajisokomeza uko ndani akitegemea huruma mtu umejikakamua adi umeingilia dilishan ilimladi upate siti anakuju mtu na mimba yke kitumbo ndiii !! hapanaa bora usimame tu kwanza ni moja ya mazoezi kwa mama mjamzito
 
Mm nina kasumba ambayo weng hunishangaa, hua napenda kusimama hata km gr haijajaaa hasa km siend mbali, masuala ya kusumbuana kwenye kushuka sipend, unakuta mtu anapanda gari mawasiliano anashukia Liverside au mwananchi gari inaenda TBT kinyerezi anapanda halaf anaenda mpk nyuma kisa siti, sasa akianza kukusumbua unajiuliza huyu ana ubongo au maganda ya karanga?
ati maganda ya karanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi wanaume wa kweli na shababi tukikutana na wajawazito kwenye daladala huwa tunawapisha siti bila kujali hali maana tunaamini " Usichoweza kukifanya wewe basi mheshimu mwenye kuweza"

3x² + 5 + 4x³ - x² + 2x³ + 9
"Usichoweza kukifanya wewe basi muheshimu mwenye kuweza"

Wise Words from a Wise Man.
 
Duuh jamaa wewe kauzu sana ...haujafanya ubinaadamu ...Unapotaka kutoa msaada katika maisha yako Usitazame kuwa mbona Fulani na Fulani hawatoi ..... Yakupasa utambue kwamba binaadamu tunatofautiana Nafsi zetu na utashi wa kufikiri pia....so kama wewe unajiona kuwa una akili basi jitahidi kuepuka kufuata matendo ya wasio na akili ...

BTW -- Wanawake baadhi yenu mnaroho mbaya sana " Jaribuni kujikagua upya aise hali mliyokuwa Nayo sasa hivi dhidi ya roho zenu mbaya inatisha
 
53 Reactions
Reply
Back
Top Bottom