Leo nimegoma kumpisha kwenye siti binti mjamzito

ANGELIKUWA DADA YAKO KAPACHIKWA MIMBA UNGEMPISHA


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mm nina kasumba ambayo weng hunishangaa, hua napenda kusimama hata km gr haijajaaa hasa km siend mbali, masuala ya kusumbuana kwenye kushuka sipend, unakuta mtu anapanda gari mawasiliano anashukia Liverside au mwananchi gari inaenda TBT kinyerezi anapanda halaf anaenda mpk nyuma kisa siti, sasa akianza kukusumbua unajiuliza huyu ana ubongo au maganda ya karanga?
 
Haya Hongera mwanaume wa Dar
tapatalk_1543947499901~2.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • tapatalk_1543947499901~2.jpeg
    tapatalk_1543947499901~2.jpeg
    63.6 KB · Views: 38
umeanza vzuri.Baada ya kuwakomesha waja wazito sasa uwakomeshe wazee, viwete na wagonjwa.
 
Kuna siku nilimpisha mzee aje akae kwenye siti afu mi gari nlikuwa nimegeuza nayo.Basi bana tukaenda nmesimama kwa tabu yule mzee alivofika kituo anachoteremka kuna dem alikuwa na matako akamuita aje akae afu mimi nipo.Nliapa sitokuja mpisha ntu

Sent using Jamii Forums mobile app
Makalio yamekuponza Mkuu.. Kweli mdharau K, Kmamae..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom