Leo nimefukuzwa kazi rasmi

Leo nimefukuzwa kazi rasmi

Planet Data bundles

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
2,403
Reaction score
4,361
LEO tarehe 04/10
Mliowai fukuzwa kazi hii inakuaje? sikua na savings, sikujiandaa!! Nasomesha na mke !!

Aisee nilipo hapa nacheka na kulia kwa wakat mmoja!!
Ulishawai pitia hii hali?

IMG_9729.jpg




Tarehe05/10
Nimeuza Godoro lasmi naelekea kwetu Tandahimba.
 
Mliowai fukuzwa kazi hii inakuaje? sikua na savings, sikujiandaa!! Nasomesha na mke !!

Aisee nilipo hapa nacheka na kulia kwa wakat mmoja!!
Ulishawai pitia hii hali?

View attachment 2772266
Kama watoto wapo primary hamishia wote shule za serikali ila tu wawe chini ya class 4, kama ni sec basi watoe peleka shule ya day ya gharama nafuu
 
Una mke..??
Mna watoto..??
Una pesa ngapi kash..??
Unaishi wapi..??
Ebu kwanza jibu hayo maswqali hapo juu, kisha upate ushauri unao endana na aina ya familia ulionayo, mazingira uliyopo na pesa ulio nayo mkononi wakati huu.

mke -ndio
watoto-ndio
kiasi-700,000/=
Mahali -Dar
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom