Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 33,674
- 97,444
4002005308
4002005308
Mwambie tushamjua jina na anuani aendelee kuleta ujuaji.
Akijichanganya tuMwambie tushamjua jina na anuani aendelee kuleta ujuaji.
MTAGAWA WASTANI KWA IDADI AU SIOMwambie tushamjua jina na anuani aendelee kuleta ujuaji.
Gari ni kuanzia IPI.Na umkumbushe mkuu tulishasema ISt sio gari
Kwa nini ufikiri wakati imeandikwa hapo juu?Ni milion mbili kumbe nilifikir mia mbili
4,002,005,308
😂😂😂😂Kuna jambo nimelifanya leo... [emoji3]
Leo nilikua naelekea hospitali na mgonjwa wangu... Sasa kufika maeneo flani nikasimamishwa Traffic, basi kwa kutii sheria nkasimama kwa mbele. Alikuja Traffic wakike kukagua kama gari inadaiwa na kufanya ukaguzi wao.
Baada ya ukaguzi wake akaja dirishani kuomba leseni yangu. Hapa ndio balaa lilipoanzia, nkamwambia hapa nipo na mgonjwa namuwahisha hospitali hivyo nimeisahau. Ila ki ukweli nlikuwa nayo lakini kwa kuwa inadaiwa sikutaka kuitoa. [emoji3] Alinkomalia sana hakuna kutoa gari mpaka ntoe leseni.
Basi nkamuuliza vipi kama nkikutajia namba maana naijua... akasema sawa ntajie.
Nkaitaja nzima nzima,"bilioni nne milioni mbili elfu tano mia tatu na nane."
Baada ya kujaribu kuandika mara kadhaa akasema hauna deni nenda, wakati mi najua nina deni kabisa.
Sasa ebu tumsaidie kuiandika kwa namba..
Nilisoma vibayaKwa nini ufikiri wakati imeandikwa hapo juu?
Kuna mambo yanafurahisha sana sweetheart...
Hii ni bilioni arobaini, umekosea40025000308
Kupigwa kivipi, ndio kazi ya polisi?Mnatakaga kupigwa kwa lazima。
Wala hajamkomesha ni yeye ndio hajui kama ana deni au lah, leseni 4,002,005,308 haidaiwi kwenye mfumo wa polisi.
Umekosea 4002050308 hii hapa40025000308
Ku-deal na watu moja kwa moja ni shida sana.😂Kuna jambo nimelifanya leo... [emoji3]
Leo nilikua naelekea hospitali na mgonjwa wangu... Sasa kufika maeneo flani nikasimamishwa Traffic, basi kwa kutii sheria nkasimama kwa mbele. Alikuja Traffic wakike kukagua kama gari inadaiwa na kufanya ukaguzi wao.
Baada ya ukaguzi wake akaja dirishani kuomba leseni yangu. Hapa ndio balaa lilipoanzia, nkamwambia hapa nipo na mgonjwa namuwahisha hospitali hivyo nimeisahau. Ila ki ukweli nlikuwa nayo lakini kwa kuwa inadaiwa sikutaka kuitoa. [emoji3] Alinkomalia sana hakuna kutoa gari mpaka ntoe leseni.
Basi nkamuuliza vipi kama nkikutajia namba maana naijua... akasema sawa ntajie.
Nkaitaja nzima nzima,"bilioni nne milioni mbili elfu tano mia tatu na nane."
Baada ya kujaribu kuandika mara kadhaa akasema hauna deni tu nenda, wakati mi najua nina deni kabisa.
Sasa ebu tumsaidie kuiandika kwa namba..
Imekula kwakeMwambie tushamjua jina na anuani aendelee kuleta ujuaji.
40025000308
Wadada wa hapa jf washajua una gari
4002005308
wao wanajua kuhesabu buku 5 tu
Ulishakubali kitanzi cha ukaguzi sema yeye ndo either akakosea namba au akaamua kuachana na wewe kijanja mgojwa asije kukufia ukamlaani.