RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,878
- 129,894
Suna...hata ka-kiduku
Suna...hata ka-kiduku
Shuniii ntakimbia hapa mpaka kiambuWapi sasa jamani uwiii mara atufume hapa




weeeeShemela za sikuWapi sasa jamani uwiii mara atufume hapa
Marhaba mremboShikamoo shemeji
Safi shemela wangu za weweShemela za siku
Marhaba mrembo
Eeenh kibibi mm nimekuwa mrembo mm sijambo mzima wewe
we jizeeshe tuHamna chochote changamsha genge tuu hii...akili za "Chesterfield" hiziIla ni nini


Kwanini zipu yake kila siku iwe wazi, jojoleo inatokea zipuni nini mkuuNilikua natembea barabarani nikakutana na mdada akaniangalia kweli maeneo ya kwenye zipu hadi nikajishtukia alivyonipita nikasema nishike eneo la zipu lahaulaa nikakuta sikua nimefunga zipu. Yule dada alikua tayari punani yangu ionekane lakini sio kuniambia zipu iko wazi niifunge.
Nilishakutana na mkaka na zipu ikawa wazi akanisimamisha akanisalimia akaniambia dada zipu iko wazi nikafunga.
Ila huyu mwanamke mwenzangu sasa akaniacha nijue mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app

MIMI MKUU MARA YA KWANZA NILILISIKIA KWENYE "POETIC JUSTICE",SIJUI INA MAANA GANIsorry, punani ndio nini?
hahahaMIMI MKUU MARA YA KWANZA NILILISIKIA KWENYE "POETIC JUSTICE",SIJUI INA MAANA GANI
![]()

ngoja ukue utajua chief,Nzuri kabisa shemelaSafi shemela wangu za wewe
We vp unamjua nini Ankal? Mi sijawahi meet nae kabisa.Hapo sawa ila hata ukikutana nae njian huwezi mjua
naomba tuonane privately mziguaDp haina uhusiano na uhalisia