Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,013
Hahhaha wenye roho nzuri wapo
Yaani. Sema leo nimekutana na mmama akanisifia![]()
![]()
Yaani. Sema leo nimekutana na mmama akanisifia![]()
![]()
Babeeeeeee....nakuhaaaaaamm wooooyyooooo![]()
Najua...nilikuwa nakusubiri tutoke woteSema kweli babe mbona mda si mrefu natoka mm![]()

sorry, punani ndio nini?Nilikua natembea barabarani nikakutana na mdada akaniangalia kweli maeneo ya kwenye zipu hadi nikajishtukia alivyonipita nikasema nishike eneo la zipu lahaulaa nikakuta sikua nimefunga zipu. Yule dada alikua tayari punani yangu ionekane lakini sio kuniambia zipu iko wazi niifunge.
Nilishakutana na mkaka na zipu ikawa wazi akanisimamisha akanisalimia akaniambia dada zipu iko wazi nikafunga.
Ila huyu mwanamke mwenzangu sasa akaniacha nijue mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
sijui mimi....lugha tatizo!!Daktrari hujui kweli??
Miaka michache nyuma kulikuwa na bia zinaitwa Miller, zilikuwa tamu sana nikiona jina lako nazikumbukasijui mimi....lugha tatizo!!