Leo nimeaibika sana

Leo nimeaibika sana

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2015
Posts
28,700
Reaction score
71,102
Kuna binti wa chuo nimemfuatilia kwa muda mrefu wa miezi mitatu hivi. Kwa bahati nzuri leo nikakutana naye amekuja kusalimia kwao, nikamuomba kama utani hivi tukaongee kidogo gesti ya jirani, akanikubalia kirahisi tu.

Tukaenda naye gesti, aisee yaani nilikuwa na usongo kishenzi. Ile tumefika, tumevua nguo jamaa yangu akagoma kusimama. Yaani nimehangaika mpaka binti akachoka kusubiri.

Nimejisikia vibaya mpaka aibu. Binti wa watu akavaa nguo zake akaondoka, nimebaki na aibu tu!
 
Kuna binti wa chuo nimemfuatilia kwa muda mrefu wa miezi mitatu hivi, kwa bahati nzuri leo nikakutana naye amekuja kusalimia kwao, nikamuomba Kama utani hivi tukaongee kidogo gesti ya jirani, akanikubalia kirahisi tu tukaenda naye gesti, aisee yaani nilikuwa na usongo kishenzi, Ile tumefika, tumevua nguo jamaa yangu akagoma kusimama, yaani nimehangaika mpaka binti akachoka kusubiri, yaani nimejisikia vibaya mpaka aibu, binti wa watu akavaa nguo zake akaondoka, nimebaki na aibu tu
Hali hii iliwahi nikumba miaka kadhaa iliyopita. Mdada nimemng'ang'ania kweli kwa muda mrefu. Akakubali tukatoka out for a date mahali fulan tulivu. Tukafanya order ya vyakula na vinywaji kisha tukajikuta chumbani. Hakika mzee kagoma usiku kucha. Tulijaribu mbinu zote zile kumwamsha mjulubeng lkn wapi. Nilishindwa na kazi muda huo wote hadi asubuhi. Nilisepa alfajiri nkamuacha binti chumbani akilala. Urafiki wetu uliishia hapo hadi wa leo. Tatizo la kiafya mm sina. Sina jibu hadi wa leo kwa lililotokea usiku huo. Kwa hivyo braza, tukio hilo hutendeka kwa wengine pia. Usife moyo.
 
Kuna binti wa chuo nimemfuatilia kwa muda mrefu wa miezi mitatu hivi, kwa bahati nzuri leo nikakutana naye amekuja kusalimia kwao, nikamuomba Kama utani hivi tukaongee kidogo gesti ya jirani, akanikubalia kirahisi tu tukaenda naye gesti, aisee yaani nilikuwa na usongo kishenzi, Ile tumefika, tumevua nguo jamaa yangu akagoma kusimama, yaani nimehangaika mpaka binti akachoka kusubiri, yaani nimejisikia vibaya mpaka aibu, binti wa watu akavaa nguo zake akaondoka, nimebaki na aibu tu
Ulikuwa na hofu mzeee.

Ulivyokubaliwa kimasihara, ukaona naenda kupewe gonjwa nin?? Au ni malaya nin?? Mmmh negative feelings zimekimbizana na kuteka makao makuuu ya akili na hisia,... Lazima Jogooo asianze kuwika kaona bado giza jingi
 
Back
Top Bottom