Leo niliota ndoto mbaya sana

Leo niliota ndoto mbaya sana

Lowasa hawezi kuwa Rais wa Tanzania na UKAWA hawatashinda uchaguzi ujao. Fullstop
UKAWA wanakuwasha sana usipoandika hilo jina hujisikii raha kabisa UKAWA ni mti wenye matunda mema kurushiwa mawe kawaida kipigo cha matokea ya serikali za mitaa ni dalili tosha anguko la ccm kukaribia
 
Ndoto yako imekaa kama vile umeitengeneza,all in all ofcourse Lowasa ndo rais ajaye wa 5 wa tanzania hilo halina ubishi,ila hajafikia hatua ya kutomsalimia MZEE WA TEZI DUME kwa mkono,bado ni marafiki na urafiki wao utaendelea kwa miaka mingi ijayo

Hebu tafuta clip ya birthday ya tanganyika, alafu soma picha, lowasa alipiga tinted miwana alafu amekunja uso hata kugeuka hageuki mkuu wa kaya alikua anaogopa hata kumuangalia, itafute ajionee
 
Kwani hujui lowassa hakufunga ndoa na ccm. .....anaweza hamia ukawa akitaka
 
watu walishaenda kucheki kwa wakuu,
jina la atakaye kuwa rais wa tanzania halifahamiki kwa wengi...
Hata hivyo tanzania itapata raisi 2016...kwani kuna maafa fulani yatatokea kwa wagombea....

Eeh! Kaka umeongea nao hao kina Sheikh Yahya nini?
 
Mnataka kuendesha nchi kwa ndoto?
hongo mbaya sana.

Mtu ni mla rushwa na mgonjwa mnataka aje awe msemaji wa mwisho wa maisha yetu no no no aendelee na dozi zake tu Monduli Pamemtosha.


​Utawatambuwa kwa maneno yao na imani zao.
 
Lowasa anatufaa sana watanzania tunampenda sana. Watanzania tunamtaka lowasa awe rais wetu mwakani.
 
Mida ya alfajiri leo hii niliota lowassa kashinda urais 2015 .... sasa tupo uwanja wa taifa rais anaapishwa. ...... ile kikwete anaamka anamkaribisha lowassa kwenye kile kiti maalum ..... kikwete akampa lowassa mkono lowassa akagoma kupokea. ....mara body guard wa kikwete akachomoa pistol anataka kumshoot lowassa. ..... bahati nzuri makamandoo wakaingilia kati. ..... punde si punde zikatokea chopper mbili zenye chata za USA zikampaisha lowassa hadi ikulu. ..... .......sikumbuki kilichoendelea ila watu walichanganyikiwa wengi walilia. .......

Niliogopa sana sikuweza kulala tena

Hii escrow itanifanya chizi

...... naomba kama kuna anaweza anitafsirie hii ndoto yangu. ..

Tafsiri yake: kwanza wewe hujawahi kuota ndoto ikawa kweli!
Pili kupaishwa maana yake Lowassa atauona urais kwenye TV.
Mwisho ndoto ni kinyume cha uhalisia.
Nawasilisha!
 
Back
Top Bottom