mafurikoyamoto
Senior Member
- Sep 13, 2013
- 160
- 53
Mida ya alfajiri leo hii niliota lowassa kashinda urais 2015 .... sasa tupo uwanja wa taifa rais anaapishwa. ...... ile kikwete anaamka anamkaribisha lowassa kwenye kile kiti maalum ..... kikwete akampa lowassa mkono lowassa akagoma kupokea. ....mara body guard wa kikwete akachomoa pistol anataka kumshoot lowassa. ..... bahati nzuri makamandoo wakaingilia kati. ..... punde si punde zikatokea chopper mbili zenye chata za USA zikampaisha lowassa hadi ikulu. ..... .......sikumbuki kilichoendelea ila watu walichanganyikiwa wengi walilia. .......
Niliogopa sana sikuweza kulala tena
Hii escrow itanifanya chizi
...... naomba kama kuna anaweza anitafsirie hii ndoto yangu. ..
Niliogopa sana sikuweza kulala tena
Hii escrow itanifanya chizi
...... naomba kama kuna anaweza anitafsirie hii ndoto yangu. ..