LEO NI WRESTLEMANIA

LEO NI WRESTLEMANIA

Katika michezo ya kiboya kwangu ni huu!
Sitokaa nielewe mtu anapigwa ngumi kama zote hapasuki wala havimbi wqla hazimii ola akidondoshwa tu kalegea ananyukwa hala f anafufuka na yeye anatoa kibano cha kiboya kwa mwenzake vile vile yaani ungese ungese tu kama watu wa kanga moko tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Usinge_comment, hakika chuki humchoma anaeihifadhi.
 
Nimeshaandaa gahawa tayari kwa mtanange.

not but pray.
 
baada ya mpira mieleka ni mchezo mpendwa kwangu, nitaangalia YouTube nataman sana Block lesnar apigee na Seth Rollins then kule Ronda Rousey awin dhidi ya The Man(Beck Lynch), Charlotte flair
 
Bubashara kabsa namsubiri king Stone afanye yake.

not but pray.
 
zile mbwembwe zote za The beast block lesnar hahaha haha zimeishia wapi? Huyo ndo Seth ROLLINS.

naona Leo HAPPY NEW DAY watapika visheti vingi kwa ushindi wa KOFF KINGSTON.

hivi kule Kati ya Ronda Rousey, Beck na Charlotte flair nani ameshinda?
 
Daaah sijaangalia mieleka miaka mingi, naona majina mapya yani kina Ronda, Beck, Flair
 
Ushind kwa koffi Kingston, Seth Rollins and Fin Ballor nilitegmea ila Ushind wa BECKY LYNCH "THE MAN HERSELF" Nimeupenda zaid
 
Ushind kwa koffi Kingston, Seth Rollins and Fin Ballor nilitegmea ila Ushind wa BECKY LYNCH "THE MAN HERSELF" Nimeupenda zaid
Dah maskini Ronda sikupenda The Man ashinde
 
Back
Top Bottom