Soulbrother
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 405
- 14
Soulbrother hapa umeniacha kwenye mataa mie hata sielewi mwenzio naomba ka ufafanuzi kidogo!
Hatujakuelewa kabisa! Au unahamasisha watu kuwataja ''secret admirers'' wao hapa jamvini?
soul umenifurahisha so kwa kuwa leo ni tell me day kwa nini wakutell you wakati siku yako haijafika? let them tell me bana ah... unaniingilia!!
soul umenifurahisha so kwa kuwa leo ni tell me day kwa nini wakutell you wakati siku yako haijafika? let them tell me bana ah... unaniingilia!!
MJ1, hiyo lugha imenistua kidogo (hapo kwenye RED)!!
Hahahahahhaha that is you and your evil mind............
MJ1, hiyo lugha imenistua kidogo (hapo kwenye RED)!!
i knew it brodha hahahhaha
yes ameniingilia........................katika ofice yangu!! LOL
DarkCity the day is Tell me day....... nambie chochote tu hata kama kuna uliyemwadimaya au kama unampango wa kugombea urais mwaka huu just tell me lol!!Ahsante kwa ufafanuzi na nimekuminyia thanks hapo juu. Uchokozi mara nyingine unaruhusiwa ili watu wasichukie na kuzivunja screen zao (tusiwe serious muda wote jamani)!! Naomba turudi kwenye mada.
Je huyu jamaa na wewe pia (kwani hii ndiyo ofisi yako), mnataka tuwambie nini na tuache nini?
DarkCity the day is Tell me day....... nambie chochote tu hata kama kuna uliyemwadimaya au kama unampango wa kugombea urais mwaka huu just tell me lol!!
hahahahhah he is trying to pull your leg bro wakati weye hudanganyiki wala huhadaiki. Its just a thread ya kuchangamsha akili (am not sure if its true a tell me day maana siku hizi kila siku ina-event hadi siku ya choo duniani )Sorry, bado naomba ufafanuzi. Mtoa mada anataka tumwambie kila kitu, eti atatutunzia siri. Hiyo inawezekana?
Halafu tunawambia kwa PM au humu humu?
DarkCity the day is Tell me day....... nambie chochote tu hata kama kuna uliyemwadimaya au kama unampango wa kugombea urais mwaka huu just tell me lol!!
hahahahhah he is trying to pull your leg bro wakati weye hudanganyiki wala huhadaiki. Its just a thread ya kuchangamsha akili (am not sure if its true a tell me day maana siku hizi kila siku ina-event hadi siku ya choo duniani )
Nilitaka kujua nitampataje ili nimsimulie kasheshe yangu na my wife wangu usiku wa kuamkia leo.
Hata hivyo hakuna neno. Ndiyo maana wengine bila kuchungulia jamvini maisha yanakuwa kama hayaendi. Keep us smiling ili tuongeze siku za kuishi!!
DarkCity karibu
Naona signature yako inawapatiliza wana, maovu ya baba zao!!