Leo ni "Tell me day"

Soulbrother

JF-Expert Member
Apr 14, 2009
405
14
Marafiki, wasomi, wana jamii wenzangu na hata wapenzi wangu, leo ni World tell me day, hivyo basi naomba mniambie kila kitu, iwe siri au mambo ya kawaida. Yote nitayaweka moyoni (in confidence) hadi world tell them day. Ahsanteni
 
Soulbrother hapa umeniacha kwenye mataa mie hata sielewi mwenzio naomba ka ufafanuzi kidogo!;)
 
Hatujakuelewa kabisa! Au unahamasisha watu kuwataja ''secret admirers'' wao hapa jamvini? :)
 
soul umenifurahisha so kwa kuwa leo ni tell me day kwa nini wakutell you wakati siku yako haijafika? let them tell me bana ah... unaniingilia!!
 
Soulbrother hapa umeniacha kwenye mataa mie hata sielewi mwenzio naomba ka ufafanuzi kidogo!;)

Leo ni siku ya kuniambia chochote kilicho moyoni mwako ma dear. Kina dada wengi wanapenda kulalamika "he never listens to me, haya leo nasikiliza, sema
 
soul umenifurahisha so kwa kuwa leo ni tell me day kwa nini wakutell you wakati siku yako haijafika? let them tell me bana ah... unaniingilia!!

Acha ugomvi... wacha waniambie kwanza... baada ya kazi nitakutafuta... usihofu
 
Hahahahahhaha that is you and your evil mind............ :)

Ahsante mkuu kwa kunishushia kibano namna hiyo! Sasa kama lugha inanitatiza nisitafute ufafanuzi?

Kuna jamaa yangu alipenda sana kutumia maneno haya "PEOPLE WE DIFFER"! Hata mimi naamini hivyo ndiyo maana kila mtu anawaza kivyake vyake. Hata hivyo usikonde, next time nitajitahidi kuwa na "angel mind"!
 
i knew it brodha hahahhaha
yes ameniingilia........................katika ofice yangu!! LOL

Ahsante kwa ufafanuzi na nimekuminyia thanks hapo juu. Uchokozi mara nyingine unaruhusiwa ili watu wasichukie na kuzivunja screen zao (tusiwe serious muda wote jamani)!! Naomba turudi kwenye mada.

Je huyu jamaa na wewe pia (kwani hii ndiyo ofisi yako), mnataka tuwambie nini na tuache nini?
 
DarkCity the day is Tell me day....... nambie chochote tu hata kama kuna uliyemwadimaya au kama unampango wa kugombea urais mwaka huu just tell me lol!!
 
Sorry, bado naomba ufafanuzi. Mtoa mada anataka tumwambie kila kitu, eti atatutunzia siri. Hiyo inawezekana?

Halafu tunawambia kwa PM au humu humu?
 
hahahahhah he is trying to pull your leg bro wakati weye hudanganyiki wala huhadaiki. Its just a thread ya kuchangamsha akili (am not sure if its true a tell me day maana siku hizi kila siku ina-event hadi siku ya choo duniani )
 
DarkCity the day is Tell me day....... nambie chochote tu hata kama kuna uliyemwadimaya au kama unampango wa kugombea urais mwaka huu just tell me lol!!

Mimi mwaka huu nina mpango wa kuanzisha chama changu cha siasa! :)
 
hahahahhah he is trying to pull your leg bro wakati weye hudanganyiki wala huhadaiki. Its just a thread ya kuchangamsha akili (am not sure if its true a tell me day maana siku hizi kila siku ina-event hadi siku ya choo duniani )

Nilitaka kujua nitampataje ili nimsimulie kasheshe yangu na my wife wangu usiku wa kuamkia leo.

Hata hivyo hakuna neno. Ndiyo maana wengine bila kuchungulia jamvini maisha yanakuwa kama hayaendi. Keep us smiling ili tuongeze siku za kuishi!!:rolleyes:
 
DarkCity karibu
Naona signature yako inawapatiliza wana, maovu ya baba zao!!
 
Hapana ndugu yangu. Inawaonya tu kukaa mbali na waovu hata kama ni baba au mama. Kwani ndege wasiofanana wanaweza kuishi kwenye tundu moja kweli?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom