Leo ni siku yangu ya kuzaliwa.....

Leo ni siku yangu ya kuzaliwa.....

Mkuu ubarikiwe sana katika mapito yako, naamini busara itakuwa inakuongoza kwenye kila jema na lenye kheri utakalo litenda.

Mwenyezi Mungu akubariki mpaka upigwe na butwaa.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Duh hongera sana ila nawapa hongera Wazazi maana hio Timing yao mimi nimejaribu nimeshindwa. Be blessed
 
Duh hongera sana ila nawapa hongera Wazazi maana hio Timing yao mimi nimejaribu nimeshindwa. Be blessed
Hahahahaaa shukran sana mkuu
 
Kumbe tumezaliwa same day!.......heri ya kuzaliwa

Happy birthday mkuu na merry christmas. Kisa chenu kimenikumbusha kisa changu. Dada yangu ana rafiki yake wa kike kwa bahati tukawa tumezaliwa siku moja basi ndo ikawa sababu ya mimi kumpata. Hadi leo "namng'ata" huyo rafiki yake.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Happy birthday mkuu na merry christmas. Kisa chenu kimenikumbusha kisa changu. Dada yangu ana rafiki yake wa kike kwa bahati tukawa tumezaliwa siku moja basi ndo ikawa sababu ya mimi kumpata. Hadi leo "namng'ata" huyo rafiki yake.Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Maweeeeeeee! Kwahiyo unatutabiria na sisi tutaishia huko eeh?
 
Heri ya kuzaliwa mkuu, ila huwa unapotea sana hapa jamvini...
 
Heri ya kuzaliwa mkuu, ila huwa unapotea sana hapa jamvini...
Hahahahaaa kweli mkuu, lakini huwa nipo kwenye background naona kila kinachoendelea mkuu. Shukran sana na uwe na sikukuu njema sana
 
Happy birthday M'Jr, pia nikutakie christmas njema na mwaka ujao
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom