Haki kabisa ataamini alivo mjinga😀😀😀Mungu Wangu😂😂😂😭😭😭😂
Nakupenda sana Sweet16 nina mbuzi zangu kama tatu na kuku wawili nipo radhi niuze kwa sababu yako.Ngoja baadaye nitamuandikia meseji mume wangu "nakupenda"
Najua ataamini atasahau ni siku gani leo😀
Wee tulia, si ni April fool 😆Mhurumie mwenzio😭
Utopwinyo wanashangilia muda huu baada ya mwerevu mmoja kupost kwamba wamezishitaki TFF, bodi ya ligi & Simba sc 😂😂Sasa watanzania wote si ni sikukuu yao hii?maana ndo majinga ya mwisho hapa duniani
Kuna hii nimeitoa FB😂😂😂Utopwinyo wanashangilia muda huu baada ya mwerevu mmoja kupost kwamba wamezishitaki TFF, bodi ya ligi & Simba sc 😂😂
Tangazo limechapishwa leo (sio na msemaji wa utopwinyo ) ila sasa utopwinyo fans wanatembea vifua wazi wakiimba kwamba watapewa goli na points 3😂😂😂
Kati ya watanzania na utopwinyo fans nani kasherehekea/anashereheshwa foolish day??
Ubaya Ubwela haijawahi kushindwa kuwaingiza mkenge utopwinyo 😂😂🤣
Itakuwa imepostiwa na mjukuu wa Wassira hii 😂😂😂Kuna hii nimeitoa FB😂😂😂
BREAKING NEWS
TUNDU LISU KUHAMIA CCM LEO , ATAONGEA NA VYOMBO VYA HABARI CHANZO CHA KUHAMA
Mjinga wa kwanza TANZANIA 🇹🇿 Ni yule anaye amini kwamba patakuwa na UCHAGUZI MKUU HURU NA WA HAKI 2025Leo ni siku ya wajinga duniani Aprili Mosi...
Usiamini chochote na usimwamini mtu yeyote. Kama siku nyingine yoyote. 🤪View attachment 3289242