Leo ni siku ya wa baba duniani

❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️ daddy always ❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️
 
Mweeee....
Mjitoe tuu out wenyewe mkitegemea tuwatoe sisi hali yenu itakua tete....

keep shining all responsible fathers out there we owe you.....
 
Happy daddie day!!

Thanks to Jah, kwa kunipa baba wee, nawaza kila siku je usingekua wee ni baba angu, nani angeweza kuvaa viatu vyako?

Wee sio tyuh baba, ni zaidi ya chochote kwangu, nashukuru kwa kila kitu ufanyacho juu yangu, malipo siwezi na sina. Ila najitahidi kadri ya uwezo wangu ili nawee ufurahie uwepo wangu kwako km mwanao.

Baba! Baba! Baba! Nakupenda mnoo, nawee unajua, nashukuru ktk wanao wote, mie ndo umeniamini na sijawahi kukuangusha km unavyoniambiaga, hili ndo linanifanya nidevelekee hapa uraiani.
.
Sema nn, ishi sanaa mshua, natamani nianze mie kuondoka hapa duniani kabla yako, wee ndo mtetezi na kimbilio langu.

Baba ninae na natamba nae, 💖❤️🙏🙏
 
Fanya umuachie ka Juniour babu....
 
Step fathers are now struggling with school fees and child support while baby daddies are apparently at local joints ordering for more Nyama-Choma and Alcohol.🥺🤣🤣
 
Mambo ya kipumbavu ya mabeberu kutufarakanisha waafrica
 
Step fathers are now struggling with school fees and child support while baby daddies are apparently at local joints ordering for more Nyama-Choma and Alcohol.🥺🤣🤣View attachment 3369713View attachment 3369714
Mimi nashukuru Mungu nimeshautua mzigo na dogo amepata ajira ya ndoto yake! Sasa nasajiriwa kwenye Bima ya afya na aliyekimbia ka dogo atajijua mwenyewe huko aliko! Ila kiongozi haya madikodiko siyo mchezo nimemwona kambale hapo wa uhakika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…