Why should we care?Leo Siku ya Jumanne jioni, Israeli itaadhimisha Siku ya Ukumbusho kwa askari waliokufa na wahasiriwa wa ugaidi, na ving'ora vya kitaifa saa 8:00 PM na Jumatano saa 11:00 asubuhi.
Tangu 1948, wanajeshi 24,981 na raia 4,070 wamekufa, wakiwemo 716 katika vita vinavyoendelea sasa vya "Upanga wa Chuma".
Kabla ya kuelekea Siku ya Uhuru utaadhimishwa na sherehe ya kuwasha mwenge katika Mlima Herzl, kuashiria uhusiano kati ya dhabihu na uhuru.
Licha ya mjadala unaoendelea kuhusu ukaribu wa siku hizo mbili, jamii ya Israel inaungana katika maombolezo, fahari na ukumbusho.
Uumini wa namna hii ni hatari na haufaiKutoka vilindini deep deep kwenye sakafu ya moyo wangu naipenda Israel na wayahudi wote kupita maelezo na Hilo HALIPINGIKI maamae. Mungu wa kweli walinde na uwabariki milele.
HUNIAMBII KITU KUHUSU YESU NA ISRAEL.
IN JESUS WE MUST TRUST, BELIEVE AND WORSHIP.
JESUS IS GOD WHETHER YOU LIKE IT OR NOT.
Nyau de adriz
Leo Siku ya Jumanne jioni, Israeli itaadhimisha Siku ya Ukumbusho kwa askari waliokufa na wahasiriwa wa ugaidi, na ving'ora vya kitaifa saa 8:00 PM na Jumatano saa 11:00 asubuhi.
Tangu 1948, wanajeshi 24,981 na raia 4,070 wamekufa, wakiwemo 716 katika vita vinavyoendelea sasa vya "Upanga wa Chuma".
Kabla ya kuelekea Siku ya Uhuru utaadhimishwa na sherehe ya kuwasha mwenge katika Mlima Herzl, kuashiria uhusiano kati ya dhabihu na uhuru.
Licha ya mjadala unaoendelea kuhusu ukaribu wa siku hizo mbili, jamii ya Israel inaungana katika maombolezo, fahari na ukumbusho.
Au siyo!?Angalia vizuri tarehe hiyo uliyoweka kama kiambatanisho ni ya lini? Na nani alisema? Je ni tamko la serikali?? Au ni matamko ya watu waliokula Maharage ya jana kama wewe? Israel ni nchi huru unaruhusiwa kusema chochote lakini hakiwezi kuwa msimamo wa serikali na ndiyo maana hata mimi niko huku wala sibughudhiwi na mtu yeyote!!
Vitabu vya wayahudi vinavyomuandika yesuKelele za watoto wa mbwa hazitusumbui hata siku moja hapo huyo Jesus kaingiaje?
Ile Mungu wangu Mungu wangu mbona umeniacha,ni kujipigania mwenyewe?Kila mtu na imani yake hata wakimwandika vipi yeye habadiriki!! Na hapiganiwi anajipigania mwenyewe!!
Wengine tupo tunaishi huku wala hakuna shida yoyote tunatembea tutakavyo. Wenye vichwa vya panzi hawakosi duniani kotę hata waliokuwa Maharage ya jana yaliyochcchc utawasikia tu wana wa waja ovyo.Huko middle east sio sehemu ya kuishi
View: https://youtu.be/l1MxlNg3QcY?si=ySGlJkoVMfhDql6g
Amani inahitajika kwa pande zote --watu waweze kuishi
kungekua hakuna shida wangehangaika na bunkers --- hapa dar es salaam umeona mwananchi gani anajenga bunkerWengine tupo tunaishi huku wala hakuna shida yoyote tu ate bez utakavyo. Waarabu tu ndiyo tatizo tukikutana nao ni kujihadhali sana wezi na Ugaidi juu!!
Wewe umeona magaidi wangapi hapo Dar? Kwa miaka mitano wamerusha maroketi mangapi mjini? Kama hakuna kuna haja gani sasa kujenga hizo unazoziita wewe Bunker? Na kwa akili yako ndogo ulitaka wasichukue tahadhali? Acha ujinga Tumia akili zako vizuri!!kungekua hakuna shida wangehangaika na bunkers --- hapa dar es salaam umeona mwananchi gani anajenga bunker
/