Barubaru
JF-Expert Member
- Apr 6, 2009
- 7,161
- 2,323
Amani ziwe juu yenu wana JF.
Namshukuru Muumba nimefika Dar es salaam salama kabisa. Na nilipokuwa njiani kutoka airport kuelekea ninapofikia Upanga , mtaa wa maliki nilistaajabu kuona Gari maalum linatangaza njiani maeneo ya Ilala bungoni ( zamani tukipaita New yamungu mengi) kuwa leo ni siku ya kuosha mikono kwa watu wa Dar. Na siku hii imeandaliwa na Wizara ya Afya na ustawi wa jamii kwa msaada wa watu wa marekani.
Nilistahajabu kusikia kuwa waTz hususan wakaazi wa dar es salaam hamjui kunawa mikono yenu mpaka mnafundishwa na wazungu?
natoa pole sana