Leo ni siku ya kuosha mikono Dar es salaam | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Leo ni siku ya kuosha mikono Dar es salaam

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Barubaru, Oct 15, 2011.

 1. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Amani ziwe juu yenu wana JF.


  Namshukuru Muumba nimefika Dar es salaam salama kabisa. Na nilipokuwa njiani kutoka airport kuelekea ninapofikia Upanga , mtaa wa maliki nilistaajabu kuona Gari maalum linatangaza njiani maeneo ya Ilala bungoni ( zamani tukipaita New yamungu mengi) kuwa leo ni siku ya kuosha mikono kwa watu wa Dar. Na siku hii imeandaliwa na Wizara ya Afya na ustawi wa jamii kwa msaada wa watu wa marekani.

  Nilistahajabu kusikia kuwa waTz hususan wakaazi wa dar es salaam hamjui kunawa mikono yenu mpaka mnafundishwa na wazungu?


  natoa pole sana
   
 2. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2011
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  This is the catch, kwa hisani ya........ na wizara ya ......................... Huu ni mchingo mwingine wa kuchota mihela, hamna kitu hapa
   
 3. Kitty Galore

  Kitty Galore JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 347
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  hayo maji ya kunawia yapo?
   
 4. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2011
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 5,780
  Likes Received: 6,266
  Trophy Points: 280
  Si Dar es Salaam tu. Today is a ''Global Handwashing Day'' mkuu na theme yake ni ''Clean Hands Saves Life''
   
 5. OMGHAKA

  OMGHAKA Member

  #5
  Oct 15, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 99
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu naomba ABC za hii program nami nijielimishe... pia kama unafaham chochote kuhusu program ya 'ulevi noma' na nyingine yoyote ya "kwa hisani ya watu wa Marekani"
   
 6. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #6
  Oct 15, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  ukawasiliana na viungo vyako vinavyohusika na kufikiri, ukaona hii ndo thread ya kuweka hapa.!!
   
 7. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #7
  Oct 17, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Imenishahajabisha sana kuona kuwa Wa Tanzania hususan wakaazi wa Dar pamoja na maji yote mlionayo hamjui kuosha mikono yenu kwa kutumia maji na labda kuongezea kwa sababu kidogo mpaka aje mzungu kuwafundisha.

  Hii ni fedheha kubwa sana na Zanzibar hakuna kitu kama hicho.

  Haya sasa mnategemea mnaweza mukaendelea kama hata kunawa mnafundishwa.
   
 8. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #8
  Oct 17, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Hilo ni jina tu wametumia. Mbona Zanzibar haikuwepo na hata Doha Qatar nilikotokea hakuna kitu kama hicho. Nafikiri huo ndio unaoitwa utegemezi na ukoloni mambo leo kwani sasa unafundishwa mpaka kunawa mikono.

  Tujiulize mbona wenyewe wakitoka haja kubwa wanatumia makaratasi na sio maji kama wanavyowafundisha watu wa Bara?

  Jikomboeni katika utumwa wa kiakili
   
 9. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #9
  Oct 17, 2011
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Wametuona vichwani makamasi,ndio maana wanatuchezea.Wajinga ndio waliwao.
   
 10. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #10
  Oct 18, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Watu wa Dar kweli ***zenu, lini mtanawishwa miguu ?
   
 11. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #11
  Oct 18, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  msamehe!
   
Loading...