Leo ni siku ya kumpumzisha aliyekatwa shingo na "wasiojulikana"

ni vizuri tukapata habari na kuzilinganisha na ndio maana ya JF hapafichwi neno
kweli huyu Mama wa Matafu ROMBO INVERSMENT alale mahali pema peponi
lkn mbona wanasema alikuwa ni Mke mdogo wakati kuna Mkubwa
lkn mbona wanasema Mzee Matafu bado yupo hai na hapo Mwika alihamishwa mwezi haujapita
lkn wanasema alijimilikisha mali zote na kubadili maandishi hata mzee hakuwa na kitu tena
Haiwezekani mtu achinjwe bila kisa halafu watu km kina wa stendi muwanyamazishe
acheni tusikitike wote yatakayokuja tuyapokee
 
Hawa watu wa hili kabila ni wapumbavu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…