Mi sijasema ivoHapa unasemaje takbir!!
ni vizuri tukapata habari na kuzilinganisha na ndio maana ya JF hapafichwi nenoUmekuwepo mtindo wa watu kujiliwaza shida zao kwa ku-post picha za watu waliofariki. Unakuta mtu hana uhusiano kabisa na marehemu lakini katika njia ya kujiliwaza anapopata picha yake ana-share kwenye social media na kujifanya ni ndugu yake. Huu ni ugonjwa wa akili.
Wewe utakuwa umeyumbaTakbiur
Hawa watu wa hili kabila ni wapumbavu sanaMiradhi ya mali japo marehemu alikuwa mke wa pili na mpaka sasa mume amekuwa na umri umeenda kutembea ni shida na mume alirudi kwa mke wa kwanza huko rombo kabisa sema huyu mke wa pili yeye alikuwa kajengewa boma lake karibu na boma la mke wa kwanza sasa kuna tetesi zinasema mke wa kwanza katuma wauwaji ili watekeleze hivyo abaki na mali
Kwa maelezo yanayotolewa na jamaa wa karibu kifo cha kutengenezwaHawa watu wa hili kabila ni wapumbavu sana
🙀😱Hawa watu wa hili kabila ni wapumbavu sana