Leo ni siku ya kumpumzisha aliyekatwa shingo na "wasiojulikana"

Umekuwepo mtindo wa watu kujiliwaza shida zao kwa ku-post picha za watu waliofariki. Unakuta mtu hana uhusiano kabisa na marehemu lakini katika njia ya kujiliwaza anapopata picha yake ana-share kwenye social media na kujifanya ni ndugu yake. Huu ni ugonjwa wa akili.
ni vizuri tukapata habari na kuzilinganisha na ndio maana ya JF hapafichwi neno
kweli huyu Mama wa Matafu ROMBO INVERSMENT alale mahali pema peponi
lkn mbona wanasema alikuwa ni Mke mdogo wakati kuna Mkubwa
lkn mbona wanasema Mzee Matafu bado yupo hai na hapo Mwika alihamishwa mwezi haujapita
lkn wanasema alijimilikisha mali zote na kubadili maandishi hata mzee hakuwa na kitu tena
Haiwezekani mtu achinjwe bila kisa halafu watu km kina wa stendi muwanyamazishe
acheni tusikitike wote yatakayokuja tuyapokee
 
Miradhi ya mali japo marehemu alikuwa mke wa pili na mpaka sasa mume amekuwa na umri umeenda kutembea ni shida na mume alirudi kwa mke wa kwanza huko rombo kabisa sema huyu mke wa pili yeye alikuwa kajengewa boma lake karibu na boma la mke wa kwanza sasa kuna tetesi zinasema mke wa kwanza katuma wauwaji ili watekeleze hivyo abaki na mali
Hawa watu wa hili kabila ni wapumbavu sana
 
Back
Top Bottom