Leo ni siku ya kucheza muziki duniani

Leo ni siku ya kucheza muziki duniani

JOSE MOURINHO

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2013
Posts
231
Reaction score
74
Kama kichwa cha habari kinavyosema, leo ni siku ya kucheza muziki duniani.
Hivyo Jitahidi ucheze hata kidogo ikizingatiwa kuwa hii siku imepangwa mwisho wa mwezi.
 
heeee!!!! mziki gani?
Anyway... naweza chagua kucheza tango na shemeji mgiriki?
 
Last edited by a moderator:
heeee!!!! mziki gani?
Anyway... naweza chagua kucheza tango na shemeji mgiriki?

Nameless girl tunacheza huku nakunongoneza "kitu sitaki ni mwili wako tu, nionyeshe vile unavyoweza kukatika tu, sio mapenzi tu, tutaachana baada ya party kuisha boo"
 
Last edited by a moderator:
Kama kichwa cha habari kinavyosema, leo ni siku ya kucheza muziki duniani.
Hivyo Jitahidi ucheze hata kidogo ikizingatiwa kuwa hii siku imepangwa mwisho wa mwezi.

Mkuu ''The Special One'' naomba ukipata wasaa usakate rumba kama hawa vijana.

[video=youtube_share;Mw8gO-ro6Zs]http://youtu.be/Mw8gO-ro6Zs[/video]
 
Nameless girl tunacheza huku nakunongoneza "kitu sitaki ni mwili wako tu, nionyeshe vile unavyoweza kukatika tu, sio mapenzi tu, tutaachana baada ya party kuisha boo"
heeeee... unataka kucheza nami!!!! unajipenda wewe?
 
Sina kitu ila leo nita bang hadi watu wote wanijue,eeeh

Cheza cheza bila kukunja goti,cheza cheza bila kukunja goti!

Gangster dont dance,they bugie meeen!!
 
mziki gani unapaswa kuchezwa leo? Maana hata Gospel Music nao ni muziki
 
Back
Top Bottom