Leo ni siku ya furaha duniani (UN)

Furaha inategemea tu jinsi ulivyoamka au siku ilivyoenda yaani kutowepo vikwazo. Anyway poa.
 
Na kama unamajanga/majonzi ufurahi tu. Haya wazungu wameshafanya mambo yootee ya kimaendelea ndo mana wanatengeneza sikukuu kila siku sasa kazi kwetu wabongo tunaopenda mteremko
 
mara siku ya wapendanao,wajinga,kufurahi bado kidogo tutasikia siku ya mabwege
 
Back
Top Bottom