Leo ni Siku Mbaya Kwa "Bomang'ombe Gangs"

Leo ni Siku Mbaya Kwa "Bomang'ombe Gangs"

Nimekumbuka na jana tena Makonda alimpiga chini yule kada wa chadema Kubenea.
Duh!
D2-uY-9XgAAEU7S.jpg
images (99).jpeg

Ndio maana nimewaambia jiwekeni wazi na mtueleze kazi ya UVCCM ni kutengeneza majambazi na sio viongozi wa siku za usoni?
 
Kumbuka kakaa Jela mwaka mzima,kama ni marinda yote masela wamesepa nayo, ukichanganya na lile nundu basi raha sana!!!kimsingi hata akitoka Jela leo lakini Nidhamu imerudi,yaani hata akiona Kuku barabarani atakuwa anatoa Shikamoo akiwa amepiga na goti!!!ule ubabe wake wote hautakuwepo tena maana akili imemkaa sawa

Kama kukaaa gerezani tayari wanakuwa washakutoa marinda basi tumuunganishe Na mbowe....wote hawana marinda au sio mwamba?
 
Naibu DPP anatumika na Chadema na wachaga kumkomoa Sabaya.

Anatumia Rasilimali za serikali kufurahisha ndugu zake.

Jambo hili likiachwa liendelee litatengeneza uadui kati ya makabila hapa nchini.
Jinga kabisa
 
Leo atalala Jela Kisongo,kesho safari ya Gereza la Karanga Moshi inaanza,kakaa Jela mwaka mzima marinda yote nyang'anyang'a,yaani hata akiingia uraiani leo Heshima na Nidhamu itakuwa imetamaradi vya kutosha,ule ubabe wake wote kwisha habari yake,hakika hata akiona Mbuzi barabarani atapiga goti na kutoa shikamoo,tukutane Gerezani Karanga Moshi
Kwahiyo na Mbowe aliekaa jela ile miezi 9 nae malinda yake nyang'anyang'a
 
Kumbuka kakaa Jela mwaka mzima,kama ni marinda yote masela wamesepa nayo, ukichanganya na lile nundu basi raha sana!!!kimsingi hata akitoka Jela leo lakini Nidhamu imerudi,yaani hata akiona Kuku barabarani atakuwa anatoa Shikamoo akiwa amepiga na goti!!!ule ubabe wake wote hautakuwepo tena maana akili imemkaa sawa
Mbona hata wewe hujaenda hata jela lakini tumesepa na rinda lako kwa hiyari kwa yako mwenyewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbuka kakaa Jela mwaka mzima,kama ni marinda yote masela wamesepa nayo, ukichanganya na lile nundu basi raha sana!!!kimsingi hata akitoka Jela leo lakini Nidhamu imerudi,yaani hata akiona Kuku barabarani atakuwa anatoa Shikamoo akiwa amepiga na goti!!!ule ubabe wake wote hautakuwepo tena maana akili imemkaa sawa
usifikiri kila mtu ni mwepesi wa kutoa malinda namna hiyo kama wewe😅😅.

uliona namna alivyokuwa anaenda mahakamani lakini au ndio wale walengwa wasioelewa chochote dunia i hapa.
 
Back
Top Bottom