Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,263
- 17,140
Hivi karudi kutoka Japan kula Sushi?tusubiri na hotuba ya ankal wa taifa....................
Hivi karudi kutoka Japan kula Sushi?
Hivi karudi kutoka Japan kula Sushi?
tusubiri na hotuba ya ankal wa taifa....................
Si ana "kakobelize" tu...........video thing
Ha ha ha ile alikuwa anataka kupata sifa tu na alikwisharudi,unaendaje kuomba walimu Jamaica wakati walimu wengi tu wapo mitaani hawana kazi?Hao walimu wanakuja kufundisha wanafunzi wetu wa shule hizi za kata ambazo mtoto hadi anafika darasa la saba hajui hata kuandika jina lake?Ngoja tuone kama karudi maana inawezekana kaunganisha safari juu kwa juukumbe alikuwa huko?!?! sina khabari yakheee.........alisharudi kutoka kule alikoend akuomba walimu jamaica??
Ha ha ha Unaweza sikia yupo nchi nyingine akitembeza bakuli la misaada.Si ana "kakobelize" tu...........video thing
kumbe alikuwa huko?!?! sina khabari yakheee.........alisharudi kutoka kule alikoend akuomba walimu jamaica??
japani ataomba mafundi wa simu na taikondwo