Leo ni mwadau mwadau. Chungu cha 15 hicho

Leo ni mwadau mwadau. Chungu cha 15 hicho

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
359,870
Reaction score
828,403
Poleni na hongereni ndugu zetu Waislam.. Leo ni chungu cha 15 tayari mshaugawa Mwezi... Safari bado ndefu lakini ukiwa na imani ni fupi sana

Pole ni kwa wale washinda njaa tu lakini hawazishiki nguzo tano za Uislam hasa kipindi hiki cha mfungo
Pole ni kwa wale ambao wamefunga kama show off lakini wakipata kaupenyo wanakazia

Hongera ni kwa wale ambao funga yao inaamanisha hasa na wana uishi huu mwezi wa toba kaka inavyotakiwa!?Ukifunga bila kumaanisha ni sawa tu umefungwa kwenye toba!

Me mwenzangu umefunga au umefungwa?
IMG-20250315-WA0037.jpg
 
Poleni na hongereni ndugu zetu Waislam.. Leo ni chungu cha 15 tayari mshaugawa Mwezi... Safari bado ndefu lakini ukiwa na imani ni fupi sana
Pole ni kwa wale washinda njaa tu lakini hawazishiki nguzo tano za Uislam hasa kipindi hiki cha mfungo
Pole ni kwa wale ambao wamefunga kama show off lakini wakipata kaupenyo wanakazia
Hongera ni kwa wale ambao funga yao inaamanisha hasa na wana uishi huu mwezi wa toba kaka inavyotakiwa!?
Ukifunga bila kumaanisha ni sawa tu umefungwa kwenye toba!

Me mwenzangu umefunga au umefungwa?View attachment 3271532
Mimi Niko mwezini na sharia ya KUFUNGA na kufungua ni mpaka uuome mwezi daah 😇......…
 
Mimi Niko mwezini na sharia ya KUFUNGA na kufungua ni mpaka uuome mwezi daah 😇......…
Ni idadi ya siku za mfungo pia inazingatiwa ndio maana kuna wanaotangulia kufunga na kufungua pia
 
Back
Top Bottom