Mkuu katoto kama haka huwa wanafundishiwa udoctor kule kwa wazungu lakini hapa bongo huwa wanafundishwa kupiga kidumbak na huwa wanajisifia kwamba mwana asisahau asili yake lakini akisha kuwa baba hujibadilisha huwa kama mzungu nyewele kutia cal kit suruwali huvaa k k na pete cheni yaani usharubaro tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.