Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 234
atapigwa faini tu ya sh 40,000/= basi
Loud and Clear mkuu. Tena hapo ni kama akipatikana na hatia.
Lakini kwa uzoefu wangu katika mahakama za kitanzania, mata nyingi kosa huwa la MAREHEMU.
Source Please. Sio lazima uchangie kila thread humu.Hukumu iliandikwa akapelekewa Chenge kuifanyia editing ndipo ikarudishwa kwa hakimu. Unategemea nini!
inamaana alikuwa siyo yeye aliekuwa anaendesha...Kuua bila kukusudia! Kwa kuwa dereva hajaonekana, Mzee wangu alijitetea kuwa kibajaj ndiyo kilimfuata kwenye site yake
inamaana alikuwa siyo yeye aliekuwa anaendesha...
Traffic kasi kwa chenge si kesi a kumpa homa, nasikia sheria inasema ukigoga na kuua unaweza kutozwa faini isiozidi 20,000 kwa kichwa...kama kuna anaejua kipengele cha adhabu atupatie hapaMze wa vijicent kazi anayo!
Ndugu yangu ni sence of humor... humu tukiwa serious everytime si itakuwa inaboa.... Utani hapa na pale si vibayaSource Please. Sio lazima uchangie kila thread humu.
Tusubiri tuone nguvu za mahakama.
kesi imehahirishwa hadi baadae mwezi huu; MSHITAKIWA AMEFIWA