Leo ni hukumu ya kesi ya Chenge

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
233
Wana JF:

Leo ndiyo ile siku ya hukumu ya kesi ya Mzee wa Vijisenti -- ile kesi ya traffiki. Watakaokuwa mahakamani tunaomba watujulishe mambo yatakavyokuwa katika thread hii maalum..


Asanteni.
 
Wakimpiga faini kitakachofuata ni kumditopile tu, hakuna mbinu nyingine.
 
Hukumu iliandikwa akapelekewa Chenge kuifanyia editing ndipo ikarudishwa kwa hakimu. Unategemea nini!
 
Kuua bila kukusudia! Kwa kuwa dereva hajaonekana, Mzee wangu alijitetea kuwa kibajaj ndiyo kilimfuata kwenye site yake
 
Should we expect the unexpected i doubt it at the end of the day utasikia anaishia kupigwa faini 40,000 au 20,000 kesi kwishnei
 
Loud and Clear mkuu. Tena hapo ni kama akipatikana na hatia.

Lakini kwa uzoefu wangu katika mahakama za kitanzania, mata nyingi kosa huwa la MAREHEMU.

Kama mimi hakimu ningem-shame Hosea na kumpeleka huyu mjamaa lupango haidhuri kwa nusu mvua tu! Kwa kosa la kughushi bima!
 
Mze wa vijicent kazi anayo!
Traffic kasi kwa chenge si kesi a kumpa homa, nasikia sheria inasema ukigoga na kuua unaweza kutozwa faini isiozidi 20,000 kwa kichwa...kama kuna anaejua kipengele cha adhabu atupatie hapa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom