Leo ni Birthday ya Mkapa,kafikisha 75!

Leo ni Birthday ya Mkapa,kafikisha 75!

FTP

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2013
Posts
514
Reaction score
240
mk.jpg

LEO Novemba 12, 2013 ni siku ya kuzaliwa Rais wa Awamu ya Tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Benjamin William Mkapa aliyezaliwa Novemba 12, 1938 huko Ndanda, Masasi mkoani Mtwara na ametimiza umri wa miaka 75.

Mkapa aliingia madarakani Oktoba 1995 mpaka Novemba 2005.

Ndiye Rais wa kwanza kuchaguliwa chini ya Mfumo wa Vyama Vingi nchini ulioanzishwa mwaka 1992. Chini ya utawala wake ndipo Uwanja wa Taifa ulianza kujengwa,barabara na mengine mengi.


kuna haja ya kukumbuka mazuri ya huyu bwana!
 
Vipi nilisikia alitaka kuzungumza na wanahabari ghafla mkutano ukahairishwa sijui alitaka kusema nini au gesi ya Ntwara nini ?.
 
Happy birthday Mr president mungu akulinde na akutunze zaidi bado tunakuitaji katika mambo mengi., ubarikiwe sana
 
Vipi nilisikia alitaka kuzungumza na wanahabari ghafla mkutano ukahairishwa sijui alitaka kusema nini au gesi ya Ntwara nini ?.

Intelligensia ya Kova imezuia! huyu mtu ana mambo mengi akianza kusema huyo fastjet wenu atakimbilia wapi?
 
Happy Birthday njomba Ben! Ulifanya vema awamu yako ya kwanza, ukaamua kuvurunda awamu ya pili! But surely you were the president!!!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
hongera sana, hata baba yangu angekuwepo leo hii naye angekuwa anafikisha umri kama wa kwako, ninapokuona namkumbuka baba yangu. Mungu akutangulie na akuhepushe na hatari zote za roho na za mwili.:tinfoil3:
 
Uncle Ben alikuwa anawakomalia journalist ile mbaya...happy birth day
 
Jk wa pili angefuata itikadi zako,tusingekuwa tunalia sasa hivi watu wa hali ya chini.
 
Back
Top Bottom