Ben hajazaliwa ndanda,kazaliwa kijiji cha iba/ wilaya ya meluco\ jimbo la cabdelgado\ nchini mo04ambique.hapo ndanda kasoma tu tena sekondari,wazazi wake waliingia tz wakati yeye yupo mdogo walifikia nanyumbu,ambayo sasa wilaya,alianza kusoma hapo.