Leo ni Basi la HOOD (T 773 AVL )

Hakuna duka,bar,msikiti wala kanisa!!Mie niko chini ya mti penye kivuli!Nashukuru Mungu pana network napooza machungu kwenye JF

Asanteni sana!Kwa nguvu za Mola tutafika

...we inaelekea unagundu. Nenda bagamoyo ukanawe yale maji ya baraka.
 
Poleni sana ila naweza sema ni bahati mbaya...wako poa sana ukilinganisha na magari mengne yanayotoa huduma kati ya Dom-moro-arusha. Imagne ndo ki2 islams...mwee!
 
We jamaa safari zako zote zina matatizo.

Tatizo lako unaanza safari na mguu wa kushoto. Kuwa makini.
 
Nawashukuru kwa sala zenu,Gari la kutuokoa lilichelewa sana, mie na baadhi ya abiria tukapata nafasi kwenye basi la Buffalo,tukalipa nauli nyingine.Arusha tumeingia saa 2 na nusu na ka simu kangu kalikuwa kameisha charge.
 
Back
Top Bottom