Ni hatari nduguWabongo sisi nimatomaso bila kukumbwa kwanza kuamini ngumu
nilipita juzi ferry niliogopa watu wamejazana jumba la kusubiria magogoni MV ,wenyebarakoa wawili harafu kunatangazo linaendelea vaeni barakoa
Walinzi wapo
Unaishia kusema mungu ,basi