Leo ndo leo.....Eaten Alive !

Leo ndo leo.....Eaten Alive !

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
97,329
Reaction score
138,347
Saa tatu kamili ET kipindi cha Eaten Alive kitarushwa kwa mara ya kwanza na stesheni ya Discovery.

Eti jamaa alienda Peru kusaka joka la Anaconda ili aweze kupata tajiriba ya kumezwa na joka hilo.

Binafsi nina shaka huenda tukawa tunapigwa kamba lakini ngoja nisubiri nione.

 
Last edited by a moderator:
Hiyo Et ni mda wa wapi mzee sawa na mm niandike sa8 mchana EST hope hutaelewa
 
Mkuu Nyani ngabu hebu feedback itakavyokuwa maana sisi wengine huku tulipo hatupati hiyo channel.
 
Tatizo wameonyesha muda mbaya,aliyerecord aweke hapa,taman kuiona
 
Yeah jana niliona hio kitu kwenye channel mojawapo ya ZUKU wana advertise hio kitu....hopefully Discovery wataonyesha kwa time ya Bongo sometimes
 
Yeah jana niliona hio kitu kwenye channel mojawapo ya ZUKU wana advertise hio kitu....hopefully Discovery wataonyesha kwa time ya Bongo sometimes

Wanairudia tena muda huu (kama unaweza kuangalia lakini).
 
Tuthimulieni bathi, wengine twaogopa kuona hiyo thinema.
 
NN ...tajiriba ni nini??kwa nini anataka kumezwa?
 
Nyani Ngabu nimecheck documentary nyingine ktk iyo link uloweka, jamaa anadai its easy to catch an anaconda than speaking english. Mdau kaniacha hoi balaa, wakati akina sie hata mjusi tu anaweza sababisha taflani.
 
Last edited by a moderator:
After I missed hii show, leo imebidi niidownload nicheck...amazing!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom