Leo ndiyo ufafanuzi wa Serikali kuhusu nyongeza ya 23% ya mwezi Julai, 2022

Ufafanuzi ulishatolewa, kwamba alinukuliwa vibaya. Ile nukta iliwekwa sipo. 23.3% yaani 2.33%.
 
Ufafanuzi tulishautoa tangu tarehe 22/07/2022 kwenye mshahara wenu.
Hebu tulieni msilete chokochoko tukawavunja mbavu
 
Haya ndo mafanikio?
Screenshot_20220726-175624.jpg
 
Leo ndiyo ufafanuzi wa serikali kuhusu 23% ya mwezi July nangoja nione watasema nini maana nilikuwa na tumaini na mama anatulea kumbe mama naye katuchoka mapema. Mungu tusimamie watumishi kikombe kigumu kwetu
Updates vipi?

Asking for friend
 
Back
Top Bottom